Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,990
sawa kajula... mtabiri.com General Mangi,
Sasa kwa mawazo kama haya hata ungeshirikishwa ungechangia nini?..nani anayekwenda huko ana muda wa kupoteza kupanda treni?
..badala ya kukarabati hiyo reli, bora fedha zingeelekezwa kujenga barabara za vijijini.
..serikali imejifanyia tu huu mradi bila kushirikisha wadau na wananchi.
Sasa kwa mawazo kama haya hata ungeshirikishwa ungechangia nini?
Reli ajenge mwingereza na mjerumani halafu wewe uwe mbunifu? Vumbua vyako ndo tutakuheshimu. Tumepanda hiyo train kwenye 70s kwenda Korogwe tukishukia Ruvu halafu wewe unatwambia ubunifu? Sema anafufua vilivyouawa na aliyemteua Pombe. Mkapa aliua kila kitu kwa manufaa yake.Imetekeleza ilani ya CCM
Polepole anajivunia mafanikio. Hajaenda kuzindua bali anakagua anajiridhisha na kuuambia umma kuwa huu ni ubunifu wa sera zetu CCM
Hatters will hate even themselves
Wacheni uzushi, inaonekana wengi bado hamjamuelewa Magufuli, treni sasa hadi Moshi, wakazi wa Kilimanjaro kunufaika pakubwa, hayo mengine hakuna mwenye haja nayo. Magufuli anafanya mambo ambayo yataandika historia ya Afrika upya.
Polepole anajivunia na ni lazima ajivunie utekelezaji wa Ilani ya CCM
Hajafanya kosa ila hatters ndo mnakosea
Hahahaha, kweli watu wanabadilika ,Msanii yule naye mjua mm wa miezi ile si huyuImetekeleza ilani ya CCM
Polepole anajivunia mafanikio. Hajaenda kuzindua bali anakagua anajiridhisha na kuuambia umma kuwa huu ni ubunifu wa sera zetu CCM
Hatters will hate even themselves
Masaa karibu 18 , unatoka dar SAA 10 jioni ,moshi unaingia alfajiriHivi Moshi Dar inachukua masaa mangapi???
..ningechangia kwamba serikali ielekeze fedha ktk ujenzi na ukarabati wa BARABARA ZA VIJIJINI.
Hahahaha, binafsi napenda treni kwa ajiri ya kula bata tu , huwa nikifika Zambia napanda treni ya Tazara ,Ngoja nianzishe thread ya "wale tutakaopanda treni kendra Moshi tukutane hapa" then nione kama itakosa wachangiaji.
Inaonesha dogo una wivuWizara ya uchukuzi mliiweka ya kazi gani ?
Hahahaha, ila hili la treni nalo la kupinga jamani, nadhani tutoe maoni ya kuboresha huo usafiripingapinga.com
Imetekeleza ilani ya CCM
Polepole anajivunia mafanikio. Hajaenda kuzindua bali anakagua anajiridhisha na kuuambia umma kuwa huu ni ubunifu wa sera zetu CCM
Hatters will hate even themselves
Naona kila kinachofanywa na JPM mnaona hakifai. Akijenga barabara mtasema ajenge hospitali
..nani anayekwenda huko ana muda wa kupoteza kupanda treni?
..badala ya kukarabati hiyo reli, bora fedha zingeelekezwa kujenga barabara za vijijini.
..serikali imejifanyia tu huu mradi bila kushirikisha wadau na wananchi.
Binadamu hatuna jema kwa kweli, siamini kama itakosa abiria