Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
basi nikamwambia pacha wako na unamjua na upole wake akaniambia BAK umekosa omba samahani yaishe, sasa mie nikamwambia samahani siombi maana sioni kosa langu lol!!!! acha atake kuangusha mchozi hahahahahah akaanza kunitafsiria sheria za JF ili nilielewe kosa langu utadhani na yeye ni MOD lol!!!! mpaka nikamuonea huruma dah!!!! lakini namshukuru sana yeye na wote waliohusika katika kupunguza kibano changu.
Hahahahahahahaha umenichekesha pacha wangu hapendi kabisa makuu ndio maana alikua anajaribu kukupa review ya sheria na huenda ilibaki kidogo Fixed Point akuombee msamaha , chezea nguvu ya upendo wewe hata kama usingekua na kosa pacha angekwambia omba msamaha tu ili yaishe. Sio siri BAK wengi tulikumiss aisee, sijui inakuwaje unaposikia habari mbaya wala hupendi kuamini ,unajua sikutaka kuamini
pacha wangu na rafiki yangu mnajua mimi ninavyopenda amani na furaha......LoL!!!! Mie nina wasiwasi aliomba samahani mara nyingi tu kwa MODS 🙂🙂, ngoja aje hapa afunguke...Yaani pacha wako Mhhhhh!!! ni mpole kupita kiasi dah!!!!! Yeye ataomba samahani hata pale ambapo hastahili kuomba samahani au atakwambia ahaaaa acha tu nipotezee hiyo badala ya kuumiza kichwa changu bure....Kuna binadamu wengine Mungu kawajalia sana na huyu pacha wako ni mmoja wao. Mie niliwamiss wengi pia...unajua JF imeshakuwa kijiwe maarufu sana chenye burudani za kila aina na ni shule pia ya aina yake.
yaani kama amri yangu sipendi kabisa kuwa na tension kati yangu na yeyote.
nikiona kuna kitu kama hicho mapema sana napenda kurekebisha, that is me, siwezi kubadilika....