Kweli kabisaa mkuu.siyo hivo ila tambua ngono ina nguvu kubwa sana;ndo maana tunazuia hata watoto kuanza ngono wakiwa bado wadogo kwani huwa mtu akionja inakuwa tabu sana.
Nimepumua angalau(hewa safi ya puani lakini)Walaaaaaa. Hayaongezi mzigo ata.
Swali zuri sana hilo, wote tulisahau kuulizaMkuu jina lake umelijuaje?
Poa....! Naghadhibika mno !Hahaaa. Ikiiva mgee Sesten Zakazaka anilete Mkuu.
Acha wapotee tu.Sasa mkuu hii mbinu yako si utapeperusha njiwa wengi saana
Inaitwa banana chop, mpira una curl kupitia curved shot ya juu, unapita ukuta, kipa anakwenda markiti na mpira unatua kulee anakotagia kuku kupitia digiriii tisiniHii inaitwa hard target. Unascore kwenye imposible angle...wale mabeki wamejenga ukuta dizain kama wa berlin lakini mshambuliaji makini kabisa anafunga kwa shuti linalo move kama ndizi Tena dakika ya 119.
Kwako mwalimu kashasha....umenielewa
Pole chiefPoa....! Naghadhibika mno !
Haijapoa bro !Pole chief
Kuna mtu anakuzunguuka sio?? HahaHaijapoa bro !
Unaniombea nikataliwe au ? Sijakuelewa vizuri.Hahahaaa. Pole sana Mkuu.
♂️
♂️
♂️
♂️ Nakuombea iwe kweli jamaani.
Sijui,ila hakuna wa kunizunguka.Kuna mtu anakuzunguuka sio?? Haha
Brenda huyu huyu mke wangu. Je amevaa weaving la Victoria?



sio huyoSubiri siku tutakayo kaa siti moja mimi na wewe ndio tutajua nani huwa mzaifu kati yetu.Hahahaaaa. Wataka mdada wa watu aangukiwe na jumba bovu.subiri siku tukakayo kaa siti moja mimi na wewe ndio tutajua
Huwa naona mie pia ila sijui kwa nini hii tabia ipo na sijui anayekuwaga mdhaifu hapo ni nani kati ya Me na Ke maana waeza kuta ni katoto kanaenda shule na kamevaa sketi ya shule ila unakuta kanagandana na mtu kisa tu kakaa naye siti moja.
Ila hebu tujadili Wadau dawa ya hii kitu ni nini? Na ni nini inasababisha hii kitu?
Japo tusihalalishe kwamba wote wanaopeana namba lengo ni mapenzi.
Chat za basi sifuatilii siku hizi, ila nikiwa ndani ya basi sitaki kukaa na mmama wala mbaba MTU mzima asipokuwa mrembo basi substitute awe mchizi mchizi kama mzee baba hapo tunaweza piga story kibao siasa,Mpira ngumi nkHahahaaa. Kazi ulikuwa nayo aiseeee.
Hivyo unayo mpaka sasa hiyo tabia?![]()
🙂 tumetofautiana kibaolojia mrembo. Huwa mtu unajikaza lakini kumbuka defeat is not an option.Hakuna ugumu wowote bana. Ila yawapasa mkae mjiulize kwa nini baadhi ya Me wanaweza lakini nyie wengine mnashindwa.
Cc. Cole Williams
sio huyo
Dah pole mkuu ila sio wako ww ila kwanin midada ya siku hizi inapenda sana kitombo halafu kwa kuwa inaongwa babae zao wanatupa presha tuUnahakika? Brenda wangu kaenda leo Arusha. Je kavaa suruali nyeusi
Madereva wa uber tu wanazichezea GPS itakuwa papuchi yako we Brenda wako akosafiri usitake kujua yanayojiri njiani au huko aendako maana utaumia bure.Kama kuna uwezekano tuunganishe zimu zao na GPS pindi wanaposafiri