Shtuka..! Unaibiwa

Shtuka..! Unaibiwa

Eeeh naona mtanange upo salama kabisa..
Mpaka sasa mnaongoza kwa 4-1 .
Wewe unadhani ni kitu gani kinakupatia maksi za ushindi..
Kwako mwalimu kashasha.
Daaahhh hahahahaaha
Siri ya ushindi ni zile block busters za inspirational coaxing and cajoling speeches ambazo zinaimailaiza kabisa deffence ya Ke

Sasa ukichanganya na intercontinetal unconditional gifts kutoka ulaya na Amerika unajikuta unapata bao ambalo ni spectacular

Kwako Enock Bwigane😛😛😛
 
Mwalimu kashasha

Dah longlive jf
 
Usije ukam dediketia wimbo wa Twanga Pepeta aliouimba Ally Choki na Lwiza Mbutu......Jirani nimekukosea nini"
Hii inaitwa hard target. Unascore kwenye imposible angle...wale mabeki wamejenga ukuta dizain kama wa berlin lakini mshambuliaji makini kabisa anafunga kwa shuti linalo move kama ndizi Tena dakika ya 119.

Kwako mwalimu kashasha....umenielewa
 
Siri ya ushindi ni zile block busters za inspirational coaxing and cajoling speeches ambazo zinaimailaiza kabisa deffence ya Ke

Sasa ukichanganya na intercontinetal unconditional gifts kutoka ulaya na Amerika unajikuta unapata bao ambalo ni spectacular

Kwako Enock Bwigane😛😛😛
Hahahahhahaha hahahahhahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom