Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,393
- 6,562
Poa sana dada"" tukisafiri wote usinzie""Niambie Kaka ake!
Mtu wa Green
Poa sana dada"" tukisafiri wote usinzie""Niambie Kaka ake!
Uuuwiii. Umeshachelewa sasa kwani ameshaniwahi Sesten Zakazaka Poole. 😂😂😂😂Nimerudi kwa ajili yako.
Yaani mimi kama wewe ukiona najipendekeza kwako na kujaribu kukuzoea ujue NAKUTAKA.
Na ukinikataa ujue nitaishia tu kukufanyia wema wa kawaida ila ule wema wa ziada sikufanyii.
Haina noma,natafuta mwengine mpaka nitampata....!Uuuwiii. Umeshachelewa sasa ameshaniwahi Sesten. Poole.![]()
Uuwiii. Ndio nini sasa. Ujue toka majuzi sikuelewi kumbe ni wewe Kaka.Poa sana dada"" tukisafiri wote usinzie""
Mtu wa Green
Usijali utampata Mkuu.Haina noma,natafuta mwengine mpaka nitampata....!
Unanipa ghadhabu sana ujue ?Usijali utampata Mkuu.
Ni mimi dada"" kwani ushausahau mwandiko wang""Nilibadili sababu ntakuelezea pmUuwiii. Ndio nini sasa. Ujue toka majuzi sikuelewi kumbe ni wewe Kaka.
Kwa nini umebadili sasa?
Hii elimu naitaka,hivi unajuaje kama fulani kabadili ID ?Uuwiii. Ndio nini sasa. Ujue toka majuzi sikuelewi kumbe ni wewe Kaka.
Kwa nini umebadili sasa?
☻☻☻☻ anaangalia mwandiko mkuuHii elimu naitaka,hivi unajuaje kama fulani kabadili ID ?
Sikuwa nimekutilia manani ujue. Hapa ndio napata picha Kaka. Haya usijali Kaka.Ni mimi dada"" kwani ushausahau mwandiko wang""Nilibadili sababu ntakuelezea pm
Duuh,hii sio njia madhubuti bro,huchelewi kukosea.☻☻☻☻ anaangalia mwandiko mkuu
Huyu ni Kaka wa Jf kwa Hajar na alizoweana naye sana na ndio sababu. Hakuna elimu zaidi ya hiyo.Hii elimu naitaka,hivi unajuaje kama fulani kabadili ID ?
Ila nimekukubali mpaka umejua fulani amebadilisha ID.Sikuwa nimekutilia manani ujue. Hapa ndio napata picha Kaka. Haya usijali Kaka.
Kaka ako wapi acha miyeyusho ?! Nakumind wewe ?!Huyu ni Kaka wa Jf kwa Hajar na alizoweana naye sana na ndio sababu. Hakuna elimu zaidi ya hiyo.
Hapana mkuu"" Hajar ni dada yang mpendwaDuuh,hii sio njia madhubuti bro,huchelewi kukosea.
Nikajua labda kuna hatua fulani hii za kitaalamu.
😂😂 mwambie ajue.Hapana mkuu"" Hajar ni dada yang mpendwa
Dada yako wapi bro ? Sema mnaheshimiana tu.Hapana mkuu"" Hajar ni dada yang mpendwa
Nitakutafuta !mwambie ajue.
Haya jioni njema Kaka.
☻☻☻☻Dada yako wapi bro ? Sema mnaheshimiana tu.
Udada na ukaka ni kwa nasaba.
Sijakuelewa bro ! Nilikataa kujifunza maana ya emoj...!☻☻☻☻