Shtuka..! Unaibiwa

Papupi

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
2,027
3,237
Kama Demu ako anaitwa Brenda, ni mrefu, mwembamba, mweupe na anasafiri kwenda Arusha kapanda Basi la Kilimanjaro

Namuona hapa anaongea na jamaa mwingne pembeni yake tokea safari imeanza, Na wameshabadilishana namba za Simu, Wamenunua keki njiani wanalishana na wanacheka kwa raha zao

Bahati mbaya sifiki mpaka Arusha nashukia Njiani, ningeendelea kukupa Information zote

Masela Kusaidiana bana.
 
Hahahaaaa. Wataka mdada wa watu aangukiwe na jumba bovu.

Huwa naona mie pia ila sijui kwa nini hii tabia ipo na sijui anayekuwaga mdhaifu hapo ni nani kati ya Me na Ke maana waeza kuta ni katoto kanaenda shule na kamevaa sketi ya shule ila unakuta kanagandana na mtu kisa tu kakaa naye siti moja.

Ila hebu tujadili Wadau dawa ya hii kitu ni nini? Na ni nini inasababisha hii kitu?

Japo tusihalalishe kwamba wote wanaopeana namba lengo ni mapenzi.
 
Chemistry tu uchangamfu, story mingi, kuongea kwingi
 
Si wiki iliyopita ulisema hivihivi,kwa hiyo huyo Brenda anasafiri kila siku?
 
Ooh sawa Mkuu.

Hivyo kwa upande wako unaionaje hiyo watu wapunguze au? Maana ndio inazalisha mengi hiyo.
Inategemea ntu na ntu binafsi naweza nikakuchangamkia, tukapiga story lakini nisikuombe namba

Msimamo tu sababu kutoongea na raia mwenzio kwa masaa 9 au 10 Wakati mmekaa pamoja ni Tatizo
 
Hapo ni sawa kabisa. Maana kikawaida kama usemavyo huwezi safiri na mtu hata story isiwepo japokuwa mara nyingi zinakuwepo wakiwa jinsia mbili tofauti. 😂😂😂😂

Mie nshawahi safiri kwenda sehemu ila haikuwa safari ndefu ni kama masaa 6 hivi, nilikaa na mdada huyo ye yuko busy na simu yake mpaka tukafika aiseee.
 
Hahahaaaa. Wataka mdada wa watu aangukiwe na jumba bovu.

Huwa naona mie pia ila sijui kwa nini hii tabia ipo na sijui anayekuwaga mdhaifu hapo ni nani kati ya Me na Ke maana waeza kuta ni katoto kanaenda shule na kamevaa sketi ya shule ila unakuta kanagandana na mtu kisa tu kakaa naye siti moja.

Ila hebu tujadili Wadau dawa ya hii kitu ni nini? Na ni nini inasababisha hii kitu?

Japo tusihalalishe kwamba wote wanaopeana namba lengo ni mapenzi.
Tatizo ni mwanamke. Kutongozwa ni kawaida, sio lazima akubali. Japo kuna ndugu m1 alilalamika kuwa kuna wanaume wanajua kuimbisha ni hatari. Safari ya Mwanza to Dom waweza jikuta unateremka Singida (kwa mwanaume), ila ni hoja dhaifu
 
Hapo ni sawa kabisa. Maana kikawaida kama usemavyo huwezi safiri na mtu hata story isiwepo japokuwa mara nyingi zinakuwepo wakiwa jinsia mbili tofauti.

Mie nshawahi safiri kwenda sehemu ila haikuwa safari ndefu ni kama masaa 6 hivi, nilikaa na mdada huyo ye yuko busy na simu yake mpaka tukafika aiseee.
Unajua kama wewe ni penda penda popote utapenda tu ila kama una misingi yako story haziwezi kukuyumbisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom