Shtuka..! Unaibiwa

Shtuka..! Unaibiwa

Chat za basi sifuatilii siku hizi, ila nikiwa ndani ya basi sitaki kukaa na mmama wala mbaba MTU mzima asipokuwa mrembo basi substitute awe mchizi mchizi kama mzee baba hapo tunaweza piga story kibao siasa,Mpira ngumi nk
Afadhali umebadilika aisee.
 
kumzoea mtoto wa kike kama sio kwa mission fulani ,ni hatari kwa afya yako.ndo maana mazoea yanaruhusiwa pale tu mnapokuwa na mission fulani,tena mazoea hayo yawe tu ni katika muda wa kazi,lakni ukishaona hata mkuu wako wa kazi akiwa ni mwanamke anakuja geto eti kukuona unavyoishi ujue tayari amesha hatarisha afya ya ubongo tayari,niliwahi kuwaacha mademu zangu wengi kwa style yao ya udhaifu.There is no pure friendship between men and women.Na ndo maana katika familia zetu tunatakiwa kuwalinda watoto wetu wa kike na wa kiume.
Haya maneno yana hadhi ya kuandikwa kwa wino wa dhahabu. Katika jambo ambalo siliwezi ni kuwa na urafiki na mtoto wa kike na sijawahi,nikizoena na mtoto wa kike kwa maana ya kupiga nae story sina cha ziada zaidi ya kumtaka tu.

Nasema tena,sina ziada zaidi ya kumtaka tu. Kwa mara ya mwisho sina la ziada zaidi ya kumtaka tu.

Ndio maana mimi siwezi nikakaa na wanaume wenzangu tukamzungumzia mtoto wa kike.
 
Hapo ni sawa kabisa. Maana kikawaida kama usemavyo huwezi safiri na mtu hata story isiwepo japokuwa mara nyingi zinakuwepo wakiwa jinsia mbili tofauti. 😂😂😂😂

Mie nshawahi safiri kwenda sehemu ila haikuwa safari ndefu ni kama masaa 6 hivi, nilikaa na mdada huyo ye yuko busy na simu yake mpaka tukafika aiseee.
aisee ungesafiri na mim kwenda chato usingejutia mtani
 
Hahaaaa. Umerudi MKUU. ‍♂️‍♂️‍♂️
Nimerudi kwa ajili yako.

Yaani mimi kama wewe ukiona najipendekeza kwako na kujaribu kukuzoea ujue NAKUTAKA.

Na ukinikataa ujue nitaishia tu kukufanyia wema wa kawaida ila ule wema wa ziada sikufanyii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom