Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,557
- 19,107
Karibu sanaAsubuhi iko poa kabisa Sesten. Haya bana tupo.
Karibu sanaAsubuhi iko poa kabisa Sesten. Haya bana tupo.
Morn Neiba.Good morning.....
Brenda imeisha ishaje??
Mimi mzima kabisaa. Namshukuru aliye juu ya mbingu.Mzima lakini jirani?
Hahahaaaa. Ngoja nikarudie kulisoma jirani. Narudi kujibu. 😜😜😜Mimi mzima kabisaa. Namshukuru aliye juu ya mbingu.
Hivi jirani hilo ndio jibu la swali?? Au ni swali la jibu..
me ni salam tu baada ya hapo naweka earphones kwa my ears sipendagi kuzoeana na wadada tukiwa kwenye gari, ila mwanaume mwenzangu story mwanzo mwishoHahaahaa. Wacha weeee.
Mtani kumbe na weye hii tabia unayo eeee.
Lengo ni safari iwe fupi bila kujali tunaongea issue gani. Ujue unaweza kujifanya uko sana busy inafikia muda unahitaji msaada ukashindwa pakuazia.😂😂😂😂😂 kumbe na wewe ndio wale wale waimbishaji eeee?
Oooh. Hapo sawa.me ni salam tu baada ya hapo naweka earphones kwa my ears sipendagi kuzoeana na wadada tukiwa kwenye gari, ila mwanaume mwenzangu story mwanzo mwisho
Duu! Kumbe maongezi yanafupisha safari eee?Lengo ni safari iwe fupi bila kujali tunaongea issue gani. Ujue unaweza kujifanya uko sana busy inafikia muda unahitaji msaada ukashindwa pakuazia.
Nb: Vipi Ushawahi Kuimbishwa?.
Nitampata nani ?Usijali utampata Mkuu.
Msitiri bro !huyo hajaolewa mtaani anafahamika ni kugawa tu k
Kama Demu ako anaitwa Brenda, ni mrefu, mwembamba, mweupe na anasafiri kwenda Arusha kapanda Basi la Kilimanjaro
Namuona hapa anaongea na jamaa mwingne pembeni yake tokea safari imeanza, Na wameshabadilishana namba za Simu, Wamenunua keki njiani wanalishana na wanacheka kwa raha zao
Bahati mbaya sifiki mpaka Arusha nashukia Njiani, ningeendelea kukupa Information zote
Masela Kusaidiana bana.
wa afya kabisa, vp shem wa watoto wazimaOooh. Hapo sawa.
Mzima lakini Mtani?