Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,457
Hahaaa. Ikiiva mgee Sesten Zakazaka anilete Mkuu.Wewe dawa yako inachemka !
Hahaaa. Ikiiva mgee Sesten Zakazaka anilete Mkuu.Wewe dawa yako inachemka !
Viiva JF Viiva, Viiva Max ViivaAahahaha
Longlive jf...dah![]()
![]()
![]()
![]()
Na kweli Mkuu haipendezi kabisa.Hiyo mbaya na haipendezi....ila yote hayo ni hutokana na malezi mabaya
Japo mjumbe hauwawi mjumbe mie ntakua mkorofi sana😉😉😉Hahaaa. Ikiiva mgee Sesten Zakazaka anilete Mkuu.
Naachaje sasa mami. Halafu natamani nimpige picha uone alivyokaa anachati na wewe hapa.Kubali tu mwaya Shooo.
Duuh! Shikamoo Mwalim Kashasha. 😂😂😂Kukubaliwa Hajar yaani unakua umeeleweka sera zako kwa kifupi
Hujatumia vifaru, mizinga wala mabomu ya machozi
Amekija mwenyewe kwa miguu yake na kwa mikono yake akashika pichu yake akaivua
Kwako mwalim Kashaha😀😀😀
Yaani Sesten sijui kawaza nini jamaani hadi kujiita Mwalimu Kashasha. DuuhAahahaha
Longlive jf...dah![]()
![]()
![]()
![]()
kumzoea mtoto wa kike kama sio kwa mission fulani ,ni hatari kwa afya yako.ndo maana mazoea yanaruhusiwa pale tu mnapokuwa na mission fulani,tena mazoea hayo yawe tu ni katika muda wa kazi,lakni ukishaona hata mkuu wako wa kazi akiwa ni mwanamke anakuja geto eti kukuona unavyoishi ujue tayari amesha hatarisha afya ya ubongo tayari,niliwahi kuwaacha mademu zangu wengi kwa style yao ya udhaifu.There is no pure friendship between men and women.Na ndo maana katika familia zetu tunatakiwa kuwalinda watoto wetu wa kike na wa kiume.Oooh. Kuumbe
Hahahaha hii ni kweli kabisa naunga mkono hojaukizunguushwa pengine unapimwa
Kutongoza sio maneno tu cute b kuna aina nyingi na mbinu mbalimbali za kutongoza na kwa vile wewe Ke ni katka viwindwa sio busara nibwabwaje hapa
Mwanamke unapomzungusha mwanaume ujue kuna utongozaji wa aina 1001, na ukija kushtuka unakuta ushaliwa inabaki historia tu, oooh huyu nilikua simpendi nikimuona nilikua namkimbia, sijui namwambia mama yupo, sijui nimesafiri lakini mwisho wasiku ulimpelekea mwenyewe bila kulazimishwa 😀😀😀
Yaani hata nikimfumania bado nitasema anasingiziwaSafi sana my dear. Mapenzi upofu mwaya.![]()
Nakujua Sesten ndio maana nikamwambia akuletee ili aone ulivyo mkorofi.Japo mjumbe hauwawi mjumbe mie ntakua mkorofi sana😉😉😉
Hahahaaa wataka ninyima nini na shkamoo yako HajarDuuh! Shikamoo Mwalim Kashasha. 😂😂😂
Marhabaaaaaa, marhaba, marhaba HajarNakujua Sesten ndio maana nikamwambia akuletee ili aone ulivyo mkorofi.
Eeeh naona mtanange upo salama kabisa..Kukubaliwa Hajar yaani unakua umeeleweka sera zako kwa kifupi
Hujatumia vifaru, mizinga wala mabomu ya machozi
Amekija mwenyewe kwa miguu yake na kwa mikono yake akashika pichu yake akaivua
Kwako mwalim Kashaha😀😀😀
Chief umeandika kwa msisitizo sana.kumzoea mtoto wa kike kama sio kwa mission fulani ,ni hatari kwa afya yako.ndo maana mazoea yanaruhusiwa pale tu mnapokuwa na mission fulani,tena mazoea hayo yawe tu ni katika muda wa kazi,lakni ukishaona hata mkuu wako wa kazi akiwa ni mwanamke anakuja geto eti kukuona unavyoishi ujue tayari amesha hatarisha afya ya ubongo tayari,niliwahi kuwaacha mademu zangu wengi kwa style yao ya udhaifu.There is no pure friendship between men and women.Na ndo maana katika familia zetu tunatakiwa kuwalinda watoto wetu wa kike na wa kiume.
teh teh tehKama Demu ako anaitwa Brenda, ni mrefu, mwembamba, mweupe na anasafiri kwenda Arusha kapanda Basi la Kilimanjaro
Namuona hapa anaongea na jamaa mwingne pembeni yake tokea safari imeanza, Na wameshabadilishana namba za Simu, Wamenunua keki njiani wanalishana na wanacheka kwa raha zao
Bahati mbaya sifiki mpaka Arusha nashukia Njiani, ningeendelea kukupa Information zote
Masela Kusaidiana bana.
Hapo saaafi. Huo ndio upendo ule tulio agizwaYaani hata nikimfumania bado nitasema anasingiziwa
Hahaha. Nikunyime nini Hajar mie. 🙈🙈
Usije kupasua simu tuu mkuu.