Shtuka..! Unaibiwa

Shtuka..! Unaibiwa

Haiwezekani Uzi mzuri kama huu uishie hapa Hajar,Krait,love b n others hebu lisongesheni tupate michango zaidi.

Binafsi napenda safiri na mtoto mzuri pembeni nakumbuka kipindi nasoma A level mkoani eti natoka Dar mpaka Mbeya nimekaaa na mbaba au mmama lazima nitatafuta mipango ya kuswap seat,ilifikia kipindi nikienda kata ticket napitia chat namuhoji wakala vipi jina hili alipokuja ulimrate vipi MTU au kama yuko sawa basi najiweka pembeni the rest tutajua safarini.
 
Aisee! Basi mi ni tatizo, unaweza kaa na Mimi siti moja hata safari iwe ya Massa kumi no story, yaani kuna kipindi huwa najishangaa, yaani hata ukinisemesha nitaona kama unanikera tu, huwa sipendi story sijui kwa nini...! Na nikikaa na Mwanamke ndo kabisaa... Afadhari mwanaume mwenzangu tunaweza ongea mawili matatu, lakini mwanamke huwa sitaki mazoea nao niwapo safarini
mie naona unafanya sawa tu mkuu maana hizo story story ndio mara watu wanapapasana mara wamelaliana pasi kutarajia.

Mie pia kiukweli sina kawaida ya kuzungumza na watu nikiwa safarini hasa akiwa mwanaume zaidi ya salamu tena ule muda nikipanda nje ya hapo nitasinzia tu au nichezee simu yangu maana wanaume nawajuaga hawana jema
waifu mwenyewe kuna kipindi akiwa ananisemesha huwa namuweka wazi tu, "naomba uniache". Ye ataenda kuendelea na shughuli zake mi ananiacha ndani
Hili sasa tatizo Mkuu kwa Mkeo yatakiwa uzungumze naye tosha yenu maana ndio mwenzio huyo.
 
Ndio mjuage kuikabili hiyo baiolojia sasa. Maana mwaeza fanya mtu ashuke ambapo hakutarajia kisa tu kero za mtongozo. 😂😂
Sasa Hajar kuna mazingira mengine magumu sana. Mfano kama hilo la kwenye usafiri unakuta mko seat moja halafu mrembo unakuta ngozi nyororo na joto zuri😛. Hali ya kibaiolojia lazima ihusike.
 
Nilipo ona id yako nikatoa macho nikajuj ni PAPUCHI kumbe ni papupi
 
Hapo ni sawa kabisa. Maana kikawaida kama usemavyo huwezi safiri na mtu hata story isiwepo japokuwa mara nyingi zinakuwepo wakiwa jinsia mbili tofauti. 😂😂😂😂

Mie nshawahi safiri kwenda sehemu ila haikuwa safari ndefu ni kama masaa 6 hivi, nilikaa na mdada huyo ye yuko busy na simu yake mpaka tukafika aiseee.
Alikuboa huyo mdada kwa kukaa zake kimya Hajar ?
 
Siwakingii kifua. Ila hatuwezi kataa wala kupinga kuwa mitongozo tunaipata sana. Iwe ni wakati wa kwenda vigengeni au masafa ya mbali. Mwanamke ndo anatakiwa ajitambue na kujithamini. Vinginevyo... Ni hasara kwa mume/mchumba. Kushuka njiani huu ni ujinga uliotukuka
Hahahaaa. Sasa kama hao tunaowaita mabingwa wa kuimbisha nao unawakwepaje hapo? Japo siamini kama wapo maana ukiwa na msimamo na akiona huna sura ya kuwa mrahisi basi na yeye anaacha na hizo mambo hawezi thubutu zaidi ya kuomba gari litembee mpate kufika. Hahaaaa.

Umeonaeee. Kushuka ni kuonyesha udhaifu wa hali ya juu Mumy. Kikubwa kujitambua tu.
 
mie naona unafanya sawa tu mkuu maana hizo story story ndio mara watu wanapapasana mara wamelaliana pasi kutarajia.

Mie pia kiukweli sina kawaida ya kuzungumza na watu nikiwa safarini hasa akiwa mwanaume zaidi ya salamu tena ule muda nikipanda nje ya hapo nitasinzia tu au nichezee simu yangu maana wanaume nawajuaga hawana jema Hili sasa tatizo Mkuu kwa Mkeo yatakiwa uzungumze naye tosha yenu maana ndio mwenzio huyo.
Kwa mke wangu huwa naona sawa tu, maana kuna kipindi kichwa changu huwa naona hakipo sawa hivyo nahitaji utulivu wa akili ndo maana namtoa nje, maana baadae huwa ananiuliza na namjibu vizuri tu
 
Haiwezekani Uzi mzuri kama huu uishie hapa Hajar,Krait,love b n others hebu lisongesheni tupate michango zaidi.

Binafsi napenda safiri na mtoto mzuri pembeni nakumbuka kipindi nasoma A level mkoani eti natoka Dar mpaka Mbeya nimekaaa na mbaba au mmama lazima nitatafuta mipango ya kuswap seat,ilifikia kipindi nikienda kata ticket napitia chat namuhoji wakala vipi jina hili alipokuja ulimrate vipi MTU au kama yuko sawa basi najiweka pembeni the rest tutajua safarini.
Hahahaaa. Kazi ulikuwa nayo aiseeee.

Hivyo unayo mpaka sasa hiyo tabia? 😜😜
 
Sasa Hajar kuna mazingira mengine magumu sana. Mfano kama hilo la kwenye usafiri unakuta mko seat moja halafu mrembo unakuta ngozi nyororo na joto zuri😛. Hali ya kibaiolojia lazima ihusike.
Hakuna ugumu wowote bana. Ila yawapasa mkae mjiulize kwa nini baadhi ya Me wanaweza lakini nyie wengine mnashindwa.

Cc. Cole Williams
 
hello Brenda
QUOTE="Gyole, post: 28392418, member: 172229"]Mwanamme mbea sana Sijapata kuona[/QUOTE]
 
Hahahaaaa. Wataka mdada wa watu aangukiwe na jumba bovu.

Huwa naona mie pia ila sijui kwa nini hii tabia ipo na sijui anayekuwaga mdhaifu hapo ni nani kati ya Me na Ke maana waeza kuta ni katoto kanaenda shule na kamevaa sketi ya shule ila unakuta kanagandana na mtu kisa tu kakaa naye siti moja.

Ila hebu tujadili Wadau dawa ya hii kitu ni nini? Na ni nini inasababisha hii kitu?

Japo tusihalalishe kwamba wote wanaopeana namba lengo ni mapenzi.
Majibu yako wazi sana...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom