Shtuka..! Unaibiwa

Shtuka..! Unaibiwa

Hahahaha kwa hiyo kuzungushwa ni ishara ya kukubaliwa. Nimechekaaaa
ukizunguushwa pengine unapimwa

Kutongoza sio maneno tu cute b kuna aina nyingi na mbinu mbalimbali za kutongoza na kwa vile wewe Ke ni katka viwindwa sio busara nibwabwaje hapa
Mwanamke unapomzungusha mwanaume ujue kuna utongozaji wa aina 1001, na ukija kushtuka unakuta ushaliwa inabaki historia tu, oooh huyu nilikua simpendi nikimuona nilikua namkimbia, sijui namwambia mama yupo, sijui nimesafiri lakini mwisho wasiku ulimpelekea mwenyewe bila kulazimishwa 😀😀😀
 
Asie jua kukataliwa kwa sisi wanaume tunasema huyo si mwanaume kamili,na kujitia umangungu wa kang'ang'ania ni kutojiamini.

Mimi mbona humu nimekataliwa mara kibao,nimekubali matokea.... Nacheka sana.
Hahahaaa. Pole sana Mkuu.

🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️ Nakuombea iwe kweli jamaani.
 
ukizunguushwa pengine unapimwa

Kutongoza sio maneno tu cute b kuna aina nyingi na mbinu mbalimbali za kutongoza na kwa vile wewe Ke ni katka viwindwa sio busara nibwabwaje hapa
Mwanamke unapomzungusha mwanaume ujue kuna utongozaji wa aina 1001, na ukija kushtuka unakuta ushaliwa inabaki historia tu, oooh huyu nilikua simpendi nikimuona nilikua namkimbia, sijui namwambia mama yupo, sijui nimesafiri lakini mwisho wasiku ulimpelekea mwenyewe bila kulazimishwa 😀😀😀
Aiseeee...
 
Hahahaaaa. Wataka mdada wa watu aangukiwe na jumba bovu.

Huwa naona mie pia ila sijui kwa nini hii tabia ipo na sijui anayekuwaga mdhaifu hapo ni nani kati ya Me na Ke maana waeza kuta ni katoto kanaenda shule na kamevaa sketi ya shule ila unakuta kanagandana na mtu kisa tu kakaa naye siti moja.

Ila hebu tujadili Wadau dawa ya hii kitu ni nini? Na ni nini inasababisha hii kitu?

Japo tusihalalishe kwamba wote wanaopeana namba lengo ni mapenzi.
when opposite charges come close...hilo ndo jibu lake.
 
Huo ndio ukamanda mkuu, mwanaume ni kama simba katika kuwinda haogopi kujeruhiwa

Kukataliwa ni sehemu ya game, pengine mwanzo mwanamke anaweza akakukatalia baadae unavyo behave akarudi mwenyewe ukajilia kiulaiini, nawashangaa wanaotumia nguvu na kulazimisha haya mambo kwa usumbufu usiokua na maana kwa Ke
Wacha Weeee. Kujilia kilaini ndio aje Sesten?
 
Wengine wanakuwaga na mahusiano yao tayari Mkuu ila wanapata au kutoa mitongozo kwa wengine wakati wa kusafiri.

Hii imekaaje?
Hiyo mbaya na haipendezi....ila yote hayo ni hutokana na malezi mabaya
 
Kama Demu ako anaitwa Brenda, ni mrefu, mwembamba, mweupe na anasafiri kwenda Arusha kapanda Basi la Kilimanjaro

Namuona hapa anaongea na jamaa mwingne pembeni yake tokea safari imeanza, Na wameshabadilishana namba za Simu, Wamenunua keki njiani wanalishana na wanacheka kwa raha zao

Bahati mbaya sifiki mpaka Arusha nashukia Njiani, ningeendelea kukupa Information zote

Masela Kusaidiana bana.
Ngoja afike atanikoma😂😂😂...mtoa taarifa nitumie namba yako PM ili nikuforwadie kitakachomkuta Brenda akifika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom