ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,118
- 5,368
ni kujaamiiana (socialize) tuHahahaaaa. Wataka mdada wa watu aangukiwe na jumba bovu.
Huwa naona mie pia ila sijui kwa nini hii tabia ipo na sijui anayekuwaga mdhaifu hapo ni nani kati ya Me na Ke maana waeza kuta ni katoto kanaenda shule na kamevaa sketi ya shule ila unakuta kanagandana na mtu kisa tu kakaa naye siti moja.
Ila hebu tujadili Wadau dawa ya hii kitu ni nini? Na ni nini inasababisha hii kitu?
Japo tusihalalishe kwamba wote wanaopeana namba lengo ni mapenzi.

