Shtuka..! Unaibiwa

Shtuka..! Unaibiwa

Updates:

Sasa hivi namuona Brenda amesinzia, shingo ameilazia kwenye bega la jamaa

Jamaa akilala na yeye lazima niwapige picha kabisa

Roho inaniuma sana kuona kijana mwenzangu anaibiwa hivi hivi na usikute nauli katoa jamaa ya kumsafirisha demu wake.
We jamaaa kuna tangazo la kazi pale clouds fm ukaungane na kwisa mzizi mkavu
 
Hahaaaa. Eti fursa adimu. Duuuh.

Huenda ikawa ndio yeye aliyepewa namba maana sio bure.
Sema we never know.... mtoa mada ameova look. Kuna watu walikutana ndani ya safari moja hiv sasa n mke na mume.

Kwan jiran shida ipo wapi unapotoa namba?
 
Hapo ni sawa kabisa. Maana kikawaida kama usemavyo huwezi safiri na mtu hata story isiwepo japokuwa mara nyingi zinakuwepo wakiwa jinsia mbili tofauti.

Mie nshawahi safiri kwenda sehemu ila haikuwa safari ndefu ni kama masaa 6 hivi, nilikaa na mdada huyo ye yuko busy na simu yake mpaka tukafika aiseee.
Mi naona tabia tu ya mtu mi nasafiri mara kwa mara huwa sina stori salamu kwsh habari ila kuna wanaojiendekeza kila akikaa na dada bas kuchukua namba
 
Hahaaa. Umefanya nicheke maana kiukweli tlka nianze kukuquote kila mara lazima useme sijakuelewa duuuh!

Usiniulize maana waeza sema pia sijalielewa swali lako.
Kutokuelewa swali au maelezo fulani ni jambo la kawaida bibie. Ila kukubali kama hujaelewa kweli ni hatua katika kujifunza na kuongeza maarifa.

Sababu umekataa nisikuulize swali,basi sikuulizi swali.

Ndio maana huwa sipendi kujadiliana mambo na watoto ya kike,huwa napata shida kuwachagulia maneno laini ya kujadiliana nao,sababu ukikosea katika kuchagua maneno,hata ujumbe uliokusudia kuufikisha unaweza usifike. Mwisho wa siku huwa nakubali maamuzi yao. Kama wewe hapa ulivyo sema nisikuulize swali,nimetii kauli yako.
 
Sema we never know.... mtoa mada ameova look. Kuna watu walikutana ndani ya safari moja hiv sasa n mke na mume.

Kwan jiran shida ipo wapi unapotoa namba?
Hahaaa. Hajaliwaza hilo ila hapa naona anawasemea wale walio tayari katika mahusiano kama vile wewe. 🙈🙈🙈

Ipo jirani sababu kikawaida huwezi sema ataenda kaa nayo tu lazima ataitumia japo ndio yategemea na aina ya matumizi. Maana waeza shangaa mtu anabadilisha gia angani.
 
Hahaaa. Hajaliwaza hilo ila hapa naona anawasemea wale walio tayari katika mahusiano kama vile wewe.

Ipo jirani sababu kikawaida huwezi sema ataenda kaa nayo tu lazima ataitumia japo ndio yategemea na aina ya matumizi. Maana waeza shangaa mtu anabadilisha gia angani.
Jiran kwani ukiwa kwenye uhusiano ndio unafunga vioo?? Hahahah unatakiwa ufungue vioo uangalie the best zaidi.

Japo mie nimefunga vioo. ]]]
 
Mi naona tabia tu ya mtu mi nasafiri mara kwa mara huwa sina stori salamu kwsh habari ila kuna wanaojiendekeza kila akikaa na dada bas kuchukua namba
Mie pia naona salamu tu inatosha. Hao wanaojiendekeza ndio wengi sana Mkuu yaani bila kupata namba anaona kama hajasafiri.
 
Kutokuelewa swali au maelezo fulani ni jambo la kawaida bibie. Ila kukubali kama hujaelewa kweli ni hatua katika kujifunza na kuongeza maarifa.

Sababu umekataa nisikuulize swali,basi sikuulizi swali.

Ndio maana huwa sipendi kujadiliana mambo na watoto ya kike,huwa napata shida kuwachagulia maneno laini ya kujadiliana nao,sababu ukikosea katika kuchagua maneno,hata ujumbe uliokusudia kuufikisha unaweza usifike. Mwisho wa siku huwa nakubali maamuzi yao. Kama wewe hapa ulivyo sema nisikuulize swali,nimetii kauli yako.
Hahahaaa. Hivyo waona hujaongea lugha laini eee? Duuh.
 
Hahahaaaa. Wataka mdada wa watu aangukiwe na jumba bovu.

Huwa naona mie pia ila sijui kwa nini hii tabia ipo na sijui anayekuwaga mdhaifu hapo ni nani kati ya Me na Ke maana waeza kuta ni katoto kanaenda shule na kamevaa sketi ya shule ila unakuta kanagandana na mtu kisa tu kakaa naye siti moja.

Ila hebu tujadili Wadau dawa ya hii kitu ni nini? Na ni nini inasababisha hii kitu?

Japo tusihalalishe kwamba wote wanaopeana namba lengo ni mapenzi.
Sioni tatizo hapo, mapenzi huanzia mahala popote haijalishi mlikutana wapi siku ya kwanza.......iwe kwneye basi,mtaani,kwenye matamasha,kwenye tafrija ,humu jf nk cha msingi kila mmoja anajaribu bahati yake....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom