ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 43,656
- 90,121
Kwamba hapo nimeandika vizuri mkuu?Napenda good handwriting mbwembwe kama zote
Kwamba hapo nimeandika vizuri mkuu?Napenda good handwriting mbwembwe kama zote
Cha msingi yasomeke, mengine mbwembweView attachment 1857934
Huu ndo mwandiko niupendao, sana tena sana.
aiseeeeh weweNilikuwa naandika poa nilipokuwa kidato cha pili, shule nzima hakuna aliyefikia waliokuwa na boyfriends walileta barua zao nizinakili tayari kupelekwa kunakohusika, napakwa 💄 kwenye hizi lips nene nazilaza juu ya barua zao,,......nimekumbuka mbali sana,
Umepotea sana jukwaani.
Mwandiko wangu wanini ama tunategana?Tuone hapa mwandiko wako namna ulivyo, kuna wengine wana mwandiko mzuri, na kuna wengine Tuna mwandiko kama bata anaharisha..
Show your hand writing hapa ikiwa kwenye karatasi au hata kwenye simu lakini kwenye karatasi ni vyema zaidi.
View attachment 1857861
hatimaye desa langu nimelipata nilipokuwaga o level.. geography. 😁😁
Hannah
Kwamba hapo nimeandika vizuri mkuu?
Hizo f za staili hiyo ziliniletea matatizo makubwa sana
Kwenye mitihani nilikuwa najitahidi kutozitumia.Hizo f za staili hiyo ziliniletea matatizo makubwa sana
Una mwandiko kama wa Samsung 😘Tuone hapa mwandiko wako namna ulivyo, kuna wengine wana mwandiko mzuri, na kuna wengine Tuna mwandiko kama bata anaharisha..
Show your hand writing hapa ikiwa kwenye karatasi au hata kwenye simu lakini kwenye karatasi ni vyema zaidi.
View attachment 1857861
hatimaye desa langu nimelipata nilipokuwaga o level.. geography. 😁😁
Hannah
August,2020.
Naenjoy zaidi kuandika kwenye plain paper kuliko karatasi yenye mstari.View attachment 1856431
#Handwriting
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeniforce nishike biki, nimeshika sa sijui niandike kipi.../
Na mwandiko mchafu si mnipe jiki?, niandike kwa vina mpaka mniite gwiji.../
Kuna mwana nataka nimchane, nawajuza mi ndo nilie muandikia Saint Anne...au sio mwana wane?
Mcheki Its Pancho kaanzisha mada afu kanywea, stuka mwenzako Prisonerx kaandika hadi vifaa vya hardware.../
Huu mwandiko unapendeza nimeulaza kifudifudi, na ndio maana siufichi nauweka wazi uonekane sio kama Bujibuji.../
Patriarch mwanangu ebu punguza hisabati, umefanya mpaka moyo wa ledada usiwe smart.../View attachment 1856636
Mimi naona ledada anashika chat .
Anaandika mwandiko wa kike,nimeupenda.
Wengine sisi tunatembeza tu wino
Sent using Jamii Forums mobile app