Show your hand writing(mwandiko)

BeautyPlus_20210718215230628_save.jpg
huo hapo.
 
Ukinipa nisome nilichoandika hata mimi wakati mwingine napata tabu kujua nilimaanisha Nini.Ngoja niutafute muandiko wa babu yangu .Mwandiko wake sidhani Kama unafanana na mtu yoyote duniani humu.
 
Nilikuwa naandika poa nilipokuwa kidato cha pili, shule nzima hakuna aliyefikia waliokuwa na boyfriends walileta barua zao nizinakili tayari kupelekwa kunakohusika, napakwa 💄 kwenye hizi lips nene nazilaza juu ya barua zao,,......nimekumbuka mbali sana,
 
Back
Top Bottom