Show your hand writing(mwandiko)

Nilikuwa naandika poa nilipokuwa kidato cha pili, shule nzima hakuna aliyefikia waliokuwa na boyfriends walileta barua zao nizinakili tayari kupelekwa kunakohusika, napakwa 💄 kwenye hizi lips nene nazilaza juu ya barua zao,,......nimekumbuka mbali sana,
aiseeeeh wewe
 
Nimejaribu
IMG_20210720_210654_edit_9206734432449.jpg
 
Tuone hapa mwandiko wako namna ulivyo, kuna wengine wana mwandiko mzuri, na kuna wengine Tuna mwandiko kama bata anaharisha..
Show your hand writing hapa ikiwa kwenye karatasi au hata kwenye simu lakini kwenye karatasi ni vyema zaidi.

View attachment 1857861
hatimaye desa langu nimelipata nilipokuwaga o level.. geography. 😁😁
Hannah
Mwandiko wangu wanini ama tunategana?
 
Tuone hapa mwandiko wako namna ulivyo, kuna wengine wana mwandiko mzuri, na kuna wengine Tuna mwandiko kama bata anaharisha..
Show your hand writing hapa ikiwa kwenye karatasi au hata kwenye simu lakini kwenye karatasi ni vyema zaidi.

View attachment 1857861
hatimaye desa langu nimelipata nilipokuwaga o level.. geography. 😁😁
Hannah
Una mwandiko kama wa Samsung 😘
 
Mmeniforce nishike biki, nimeshika sa sijui niandike kipi.../

Na mwandiko mchafu si mnipe jiki?, niandike kwa vina mpaka mniite gwiji.../

Kuna mwana nataka nimchane, nawajuza mi ndo nilie muandikia Saint Anne...au sio mwana wane?

Mcheki Its Pancho kaanzisha mada afu kanywea, stuka mwenzako Prisonerx kaandika hadi vifaa vya hardware.../

Huu mwandiko unapendeza nimeulaza kifudifudi, na ndio maana siufichi nauweka wazi uonekane sio kama Bujibuji.../

Patriarch mwanangu ebu punguza hisabati, umefanya mpaka moyo wa ledada usiwe smart.../View attachment 1856636
 
Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom