Show your hand writing(mwandiko)


Nimekuwa mwaminifu kuitimiza.View attachment 2047684
IMG_20220327_193747_163.jpg
 
Tuone hapa mwandiko wako namna ulivyo, kuna wengine wana mwandiko mzuri, na kuna wengine Tuna mwandiko kama bata anaharisha..
Show your hand writing hapa ikiwa kwenye karatasi au hata kwenye simu lakini kwenye karatasi ni vyema zaidi.

View attachment 1857861
hatimaye desa langu nimelipata nilipokuwaga o level.. geography. 😁😁
Hannah
Haya mkuu; tuimbe pambio🤣 H-writing yangu hii hapa.hii ni ya leo-leo.

IMG_20220328_130507.jpg
 
Back
Top Bottom