Hivi shule gani mnazofundishwa kubishana vitu pasipo merits. Nimekuuliza swali rahisi na dogo sana mara ya ngapi sasa?.. Je, unajua maana ya blackmail? hujibu ila unarudia kutoa mifano na matumizi yasiyofanana na neno lenyewe.. Kiingereza mmejifunza wapi? jamani lugha ya watu iacheni andika kiswahili tutakuelewa vizuri sana. Unaponambia mimi nai blackmail Chadema hili ni tusi kubwa sana na kama wewe huoni tusi basi hujui kiingereza isipokuwa cha kusomea darasani kushinda mitihani, hii lugha ya watu brazaa!..umejifunza kuleta balance ya vitu gani, hii elimu gani hii ya unajimu!..
Kama hujaelewa nilichokuandikia kuna shida ama ya kusudia ama ya kukusudia.Kebehi zako hazina tofauti na za Pinda pale Bungeni, huku akishindwa jibu maswali kwa ufasaha na bila kuwa honesty.
Bado nipo right sana ingawa unababaika kudivert vitu kwa kujenga sense ya discredit ili uongeacho kipate kubalika.Wala sijaongea utabiri wowote kwa hio huo unajimu (astrology) sijui umepata wapi?Naona unajtahidi sana kuongezea idea mpya ili kuji boost na baadae uendelee na porojo zako.
Sasa kama hujui hiyo balance niongeayo ni ya vitu gani why should i explain more?Hizo kelele zako za swali rahisi , nami nmekupa jibu rahisi, na kwa upana sana.Ila pamoja na kutojua message unayoipeleka bado unaleta kebehi.
Nimeshakwambia Zitto, Mbowe, Mnyika, Dr.Slaa wote wanapitia hapa JF kila siku na kama niloandika yana uongo wangekuja kupinga niloyaandika na wala sihitaji lolote kutoka kwao ama Chadema kama malipo haramu kwa siri ama ushahidi nilokuwa kinyume cha haki ( I could be sued for that), zaidi ya mimi kuwafahamisha nyote hapa ya kwamba wanachonganishwa makusudi kukorofishana.
Hapa ndipo panaonyesha jinsi ulivyo shallow, na ndipo nikuwa nasubiri.Blackmailing ni zaidi ya kuchukua hela kwa vitisho.Kuna maana nyingine zadi ya moja.Ila zote zinaambatanishwa na vitisho.Na kitisho chako hapa ni kujaribu leta habari kuwa na wengine "wamekosea pia".Sasa hapa hujui ulichoandika na "Tafsiri yake".Hii ni ni wazi kuwa una matatizo,unajiamini sana zaidi ya ukweli wa mambo katika maeneo fulani fulani.N ahii ipo kwa watanzania wengi.
Walianza na Chacha Wangwe, walipoona hana manufaa wakamwondoa sasa wanamtumia Zitto kama mtaji wa kuibomoa Chadema na nasema tena viongozi wa Chadema wanalijua hili isipokuwa nyie washbiki wa pembeni ndio mnaleta ajizi na hata huu Udini uliopo sasa. hakuna mawasilaino mazuri kati ya Zitto na Mbowe miaka sasa na sababu ilikoanzia nazijua ila sina sababu ya kuanika. Kama wao wana mashaka na niloyaandika waje hapa halafu tutaona mwisho wa hoja hii itatufikisha wapi!.. am down with it!
Mkandara mbona unasound kama loosers, ambao wanapenda jifanya kuwa waachwe wafanye wafanyalo kwa vile wanadhani kuwa wao ndio wanajua tuu.Mbona vitu vingine ni logical na havihitaji court eveidence hapa.Nilishakuambia
si siri kuwa CCM wapo busy kuvunjwa upinzania kwa gharama kubwa na njia nyingi zaiid ya hii unayong`ang`ania kama vile ndio mgunduzi pekee.Pia nilikuwambia kuwa CDM imekuwa dynamic sana kiasi cha kufanya CCM wawe off target.Ukaleta porojo na negation zako.Ila sasa unthibitisha kwa huo mfano wa Wangwe.
Naona unapenda create sense kuwa wengine wapo guilty ili uhalalishe porojo na kutaka nyamazisha wengine na habari zako kuwa una inside story.Hatuhitaji inside story katika vitu vinavyoelezeka ligically.Hayo mengine utayatoa kama mahakama inahitaji.
Mh.sikatai kuwa una uelewa mkubwa na pengine una list ya vyeti na awards nyingi sana.Ila haimaanishi kuwa uwe arrogant.Duniani imeshuhudia mengi sana yakiwapo ya waliodhani wamehodhi fikra na elimu kujikuta wengine wakifanya mamabo ambayo hata wao hawajui wamesoma wapi?Naona uanonyesha kutokuwa na tofauti na TBC waliokuwa wakidhani kuwa tasnia ya habari za redio na TV wao ndio wameshikilia, huku siku hizi kuna kitu kipya kinaitwa citizen journalism.
Na pengine nikwambie najua mengi zaidi ya unavyofikiria na siwezi kuandika hapa JF wala sijaambiwa na hata mmoja wao kuhusu mtu mwingine. Hizi ni habari nilizozipata toka reliable sources hata kabla sijajiunga na Chadema way back baada ya uchaguzi wa mwaka 2005.
Hakuna aliyekuuliza hayo hapa labda kama yanakuchoma kwa ndani na unajiskia yaanika ila sikushauri.Issue ni kuwa reasoning imekuwa problem kati yangu na wewe+ego uliyo nayo, unaweza aanika yote ila rationally bado ukawa hujajinasua ulipokwama kuliko sababishwa na approach zako kuhusu wengine.Mkuu usijisahau hujahodhi fikra za watu.
Hivyo naelewa source na mgogoro uliopo baina ya Zitto na uongozi wa Chadema na nimeweka wazi kabisa kwamba vimepikwa. Na hata wanapokosea iwe Mnyika, Mbowe au Dr.Slaa huweka wazi hapa JF simwogopi mtu wala sina ubia na mtu isipokuwa penye sifa zao huwapa sifa hizo. Nenda kasome mada nilizoanzisha kuhusu Zitto halafu unambie nategemea Chadema wanilipe nini ili niwape nini?..
Nilishakujibu na hiyo si kitu kipya sana amabcho hakijasemwa.Hapa issue ni kuwa Zitto anaonekana kuzama huko, sasa ni yeye ajitoe au apigwe chini.Sasa nini kinakushinda fikiria hapa mpaka urefushe thread kubishana na mimi?
Weather umekwepa risasi million or more, bado hakuzui risasi inayoelekea moyo wako isikuue?Ndio kama kuhusu huyo jamaa yako kama si wewe nae kafanya mengi kwa manufaa ya chama na nchi bado akiamua kufanya moja la kuua chama hakuna wa kumwachia.Mzee kuna practices hazifanyai kazi kama logic yako inavyokutuma.Dakatari anaokoa maisha ya watu wengi sana na kila siku ila siku akiua basi sheria humuadhibu.
Wewe unayerukia bandwagon ndio mwenye matatizo, na Nimesema kama hutaki unaacha mkuu wangu kuliko kuendelea kumpakaza Zitto wakati tunayajua makosa yake na wapi mnapika ili kuleta uhasama ndani ya chama ati afukuzwe? who the hell are you?.
Iam nobody mkuu.ha ha...ila ujue message sahihi si lazima itolewe na binadamu na wa whatever calibre unayodhani.Hata computer zinatoa message, mbwa nao huwa wantoa message.So angalia reasoning yako isiingiliwe na fikra zao, au hata hisia zako.
Hujanisoma mkuu.Zitto ni inspirational ,lakini haimaaminishi hapotei na hawezi sahihishwa hata na junior wake?Hii ndio elimu ya Kibongo ndio inakuongoza bila kujijua.Unadhani elimu ni one-way traffic.Nimekuwa clear sana kuwa simchukii mh. Zitto, na wala discussion haitaki jua kuwa ni kweli kuwa kafanya au lah, ila jinsi alivyojibehave katika hiki kipindi hakirishi watu na ndicho tunachokigombania hapa ila kwa vile .
Kazi yako ni kumpa mbwa jina baya ili ummalize umekuwa ukijaribu play victim, accusse wengine kwa mambo mengi humu ,watu wanataka Zitto aface reality na si kuplay victim ,ajibu tuhuma kwa busara,aanze kujenga taswira njema katika chama kama kaona kafikia kikomo cha kukubaliana na mambo ya chama au hata anadhnai anataka hamia sehemu nyingine basi atoke bila kuchafua chama.Dunia ina watu wenye busara sana na sidhani kwanini Zitto asiwe mmojawapo kama mambo hayawork on hisi side?Wapo watu (mke/mume) ambao huachana na kuvunja ndoa in private wamesamaheana ila kwa jinsi walivyoichafua ndoa yao huwa wanaona kuwa si rahisi mambo kuwa the SAME AGAIN.na hivyo kuachana ila siku zote kauli zao ni very responsible, huwa wanalindana katika public hata wakitofautiana in private, huwezi msikia mmoja akirukia shutuma za uzinzi dhidi ya mwenzie na kusema kuw ahata mimi niliachana naye kwa suala hilohilo.Zitto anaonekana kuwa suala la Ukabila, sijui ukanda na Udini dhidi ya CDM halina uzito.Ni vigumu kwa mwanasiasa makini kutoona wingi wa watu katika CDM na hisia za nchi juu ya kutaka ukombozi kuwa ni very sensitive issue.Huko ni kuwa Irresponsible, hata kama baaddhi ya mambo anaamini yana usahihi fulani.Kuna vitu ni OK ila si right.
He has done things wrong, so were others na kinachohitajika ni kuelekezana sio kukashifu ktk vitu ambavyo huna ushahidi tena vimepandikizwa na watu wanaotaka kukivuruga chama. Shida yako nini hasa?..Unataka nikwambie makosa ya wengine, kwani wao ndio mada hii ama nachoweza kusema hata wao wanayafanya makosa ktk mada zinazowahusu, labda fanya kunitafuta humu JF utaniona sehemu kibao nachangia kwa mtazamo wangu na simwachi mtu.
- Nimemaliza, na sina haja wala sababu ya kuendelea na mjadala huu..
Kutuhumiwa tuu kwa mwanasiasa ni hukumu tosha ndugu yangu,na kutokuwa respnsible ni kama kukiri.Huo ushahidi mwingine ni mahakama ndio wanahitaji.Mi sishitaji kufuata historia yako kuhusu makovu ya kukwata usoni na shindoni ili nijenge wasiwasi na uaminifu wako(wasiwasi kuwa wewe unaweza kuwa mwizi).Cha kwanza na salama zaidi ni kulinda property zangu ,kwani kuanza ulizia ni kujiweka pabaya kwako na kwa jamii kuwa sikuamini na kukushutumu.Nilishasema tayari raia wengi na pengine viongozi wa cdm wana mashaka na Zitto katika vitu vingi na anayoyafany ain public yanaongeza uzito wa imani hiyo kuliko kupunguza kama mnavyoshindwa toa hayo.Imagine inchi watu bado wanaamini kuwa Nyerere bado ni rahisi, au hata Nyerere ni position ya URAIS hadi miaka hii ambayo mzee hayupo?Lini itafika habari kuwa kuwa Zitto hakueleweka?
Mkandara wala huhitaji kuwa milatant na mnazi kama wale watu ambao huwa wanajidai kuwa wanajua historia ya uhuru kuliko wengine, n ahivyo kunyamazisha wengine ili waweze pitisha agenda zao.
Mbona discussion nzima hahitaji court evidence, ni conventional wisdom tuu.Hizo evidence kibao au hata ujuaji unaoutaka nimeshakuonyesha mara nyingi kuwa si lazima sana katika mambo yanayohusu mitazamo na ushauri.
Mashukuru umesema mjadala ufe nami nilipenda sana ufe.Ciao