hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,841
hivi ule mnada bado upo njia ya veyula?
Hashycool huo mnada wa nyama choma bado upo, njoo ule utumbo wa mbuzi wa kuchoma na bia moja moto au baridi
kaka pale enzi zangu kila j mosi ilikuwa sikosi......vipi chako ni chakoo bado pana shine vilevile?