Shosti, Dena Amsi,Hashycool na Pdidy nimewasikia I am back...........

Shosti, Dena Amsi,Hashycool na Pdidy nimewasikia I am back...........

dah! yule mzembe ana mitego kuliko tiger wood. simtambulishi kwa waifu hata sku moja yule jamaa. acha tuwe maadui tu

huyu ngoja tu lazima nimpe mtego wa kobe brayanti......ngoja tuje tucheze picha na shosti
 
Du Bw M. Shossi usichoke hapa JF ndo palivyo kuna watu hawaelewiki wako mrengo wa kushoto hivyo km ww ukienda kulia hampatani hata matusi na hii ipo zaidi katika Jukwaa la Siasa mm nakushauri bora hapa kwenye Mahusiano, mapenzi na urafiki unaweza kuubwaga moyo wako hata kwa mashairi bila BAN
Lakini huko kwenye Siasa du sisi tumebamizwa hasa tukapumzika kimya
Kwenye facebook nimekupata tutawasiliana karibu Bungeni vyama vyote vipo kesho mwendo wa nyama za kuchoma mnadani
 
aaaaaaarrrghhhh hii yangu ya kukopi na kupesti wakati ya shossi ilitoka dairektli proposheni fromu ze hat....nakataaa

Kaka yangu, kaka yangu,
Kwa nini, unakataaa,
Pokea zangu salamu, popote pale ulipo.
Nakupenda kaka yangu, wewe ni wathamani.

Natamani kukuona, kwa macho yangu mwenyewe,
Unaishi wapi wewe, natamani nikufuate,
Isije kuwa Mbagala, au Gongo la Mboto,
Mabomu nayaogopa, nisije poteza mkono.

Jamani kaka hashy, nieleze uliyonayo,
Nipo tayari kusikia, kwa vitendo kutimiza,
Jambo moja zingatia, kwa moyo ninakupenda,
Ni mimi dada yako, Elodiii nikupendaye.

Duuuuu, wasije kunikuta wenye vipaji vyao wakanitoa baru hapa!!
 
ODO leo ntalala kwa raha,si unajua Tanga rahaaaaa:hug:
 
Kaka yangu, kaka yangu,
Kwa nini, unakataaa,
Pokea zangu salamu, popote pale ulipo.
Nakupenda kaka yangu, wewe ni wathamani.

Natamani kukuona, kwa macho yangu mwenyewe,
Unaishi wapi wewe, natamani nikufuate,
Isije kuwa Mbagala, au Gongo la Mboto,
Mabomu nayaogopa, nisije poteza mkono.

Jamani kaka hashy, nieleze uliyonayo,
Nipo tayari kusikia, kwa vitendo kutimiza,
Jambo moja zingatia, kwa moyo ninakupenda,
Ni mimi dada yako, Elodiii nikupendaye.

Duuuuu, wasije kunikuta wenye vipaji vyao wakanitoa baru hapa!!

unampango wa kuninyima nini?
 
afazali wewe ya p diddy, mimi nimeimbiwa ya bongo fleva bana. yaani nimeuchuna tu kwasababu za kiafya lakini LD inabidi aniombe razi tu

Daaaa klorokwini wewe nitakuimbia kesho, umesikia eeh!!
Umesikia mtoto mzuri, nitakununulia na pipi eeh!
Unapenda pipi gana Cloro wangu, pipi kijiti unapenda,

Au nikuletee chokoleti, au Aiskrimu za baresa,
Cloro mwanangu mpendwa, usikasirike eeh!!
Nisamehe mwaya, umenisamehe tayari,
Ntakuletea na baiskeli eeh, ucheze na Hashycool.
Haya mtoto mzuri, nenda kalale.
 
Du Bw M. Shossi usichoke hapa JF ndo palivyo kuna watu hawaelewiki wako mrengo wa kushoto hivyo km ww ukienda kulia hampatani hata matusi na hii ipo zaidi katika Jukwaa la Siasa mm nakushauri bora hapa kwenye Mahusiano, mapenzi na urafiki unaweza kuubwaga moyo wako hata kwa mashairi bila BAN
Lakini huko kwenye Siasa du sisi tumebamizwa hasa tukapumzika kimya
Kwenye facebook nimekupata tutawasiliana karibu Bungeni vyama vyote vipo kesho mwendo wa nyama za kuchoma mnadani

Mkuu umenikumbusha enzi za mnada ulipokuwa miyuji njia ya kwenda Arusha ule ndio ulikuwa mnada mkuu. Dodoma is my second home nimekaa sana hapo Dom nimesoma shule ya Uhuru kisha Shule ya Sekondari ya Dodoma karibu na bunge...........
 
sasa we shairi zima unaniadress kaka tu aaarrrrgh!

Haya mpendwa hashy!!
Sikunyimi kitu, my dear,
Sema utakacho utapewa,
Madamu chapatikana,
Karibu ndizi na parachichi,
Ubwabwa na maharage,
Ugali na kibua.
Mbege unatumia?
Na yenyewe ipo kidogo.
Haya karibu Hasycool!!
 
Back
Top Bottom