Shosti, Dena Amsi,Hashycool na Pdidy nimewasikia I am back...........

Shosti, Dena Amsi,Hashycool na Pdidy nimewasikia I am back...........

Hata mie sili sinywi nakuwaza wewe hasa hilo pozi lako acha tuu ndo ugonjwa wangu :wink2::wink2::wink2:

Inamaana umenidondokea kitambo ila unaona soo kuniambia? Hizi zama za ukweli mie nahangaika sina mwenza ww unajivunga!
 
Nimeichelelewa sana hii thread kumbe maoni/mawazo yangu umeyakubali??

Welcome back my dear bro
 
Nimeichelelewa sana hii thread kumbe maoni/mawazo yangu umeyakubali??

Welcome back my dear bro

Ushauri wako ulionitumia ulinifanya nirudi
Nikaona umuhimu wangu kwenu na Wadudi
Ni kweli nilitaabika nje nilipigwa na baridi
Mohammed nimeingia kwa mapana nimerudi
Nimejiona nimekosa uliposema mwafaidi
Naomba usishirikiano na mapenzi ikibidi
 
goooooooosh! nimemaliza kusoma, kitabu page 8 lakin nakiona kama page 2000. Nimejifunza sana. Mi hata sikufahamu kama MoSh kaondoka au la, nitasema tu KARIBU KIJANA maana wote waliojua kuondoka kwake walimkaribisha.
 
Ushauri wako ulionitumia ulinifanya nirudi
Nikaona umuhimu wangu kwenu na Wadudi
Ni kweli nilitaabika nje nilipigwa na baridi
Mohammed nimeingia kwa mapana nimerudi
Nimejiona nimekosa uliposema mwafaidi
Naomba usishirikiano na mapenzi ikibidi

Karibu sana mapenzi utayapata
 
Nikisema mkuu kuwa utarudi, nilishajaribu mara kibao kuondoka but addiction ya hii kitu bora hata ukavuta sigara!


haa mkuu nakumbuka ulimpa hili angalizo

Shossi karibu tena...I believe u have made more friends than 'enemies' here so you learn to live with it..after all sio rahisi kummiss kila mmoa

Lile shairi zito nadhani uliliweka kwen consideration, alikuandikia nani sijui, considering your expertise kwen mashairi nikasema usiporudi tena hapa itakuwa kweli umeamua

anyways welcome back and lets move forward
 
Back
Top Bottom