Shosti, Dena Amsi,Hashycool na Pdidy nimewasikia I am back...........

Mkuu umenikumbusha enzi za mnada ulipokuwa miyuji njia ya kwenda Arusha ule ndio ulikuwa mnada mkuu. Dodoma is my second home nimekaa sana hapo Dom nimesoma shule ya Uhuru kisha Shule ya Sekondari ya Dodoma karibu na bunge...........

hivi ule mnada bado upo njia ya veyula?
 
Daaaa klorokwini wewe nitakuimbia kesho, umesikia eeh!!
Umesikia mtoto mzuri, nitakununulia na pipi eeh!
Unapenda pipi gana Cloro wangu, pipi kijiti unapenda,

Au nikuletee chokoleti, au Aiskrimu za baresa,
Cloro mwanangu mpendwa, usikasirike eeh!!
Nisamehe mwaya, umenisamehe tayari,
Ntakuletea na baiskeli eeh, ucheze na Hashycool.
Haya mtoto mzuri, nenda kalale.
dah! huu mchezo uandikwe "the end" tu. shossi ashauwa gemu.
 
yaani mie nishaanza kutunga shairi la kwenda twita
halaf shosti anaanzisha sredi la kukutafuta. ukilejea unaondoka na keren happuch.

N:B. angalia jamaa wasije wakafurahia kuondoka kwako tu. itakua imekula kwako kamanda
 
ODO leo ntalala kwa raha,si unajua Tanga rahaaaaa:hug:

Naona umefurahi machoni kunitia
na katuni umbebandia unanikumbatia
Hizo odo sizitaki unatakanibania????

Kama si wewe nani amaenithamini
Rabbi akupe ghufan akhera na duniani
Kwa uweza wa manani muweza wa kila shani
Utaingia peponi na Mtume Al amini
 
kuna sredi moja lilikuwa linaongelea exposer,na alikuwa msapoti mkubwa sana sasa naamini atanielewa tu!

sina choice bali kukuelewa na kukukubali tu ulivyo.....ila siku nafanya ufanyavyo tusionane wabaya......:wink2:
 
Naona umefurahi machoni kunitia
na katuni umbebandia unanikumbatia
Hizo odo sizitaki unatakanibania????

Kama si wewe nani amaenithamini
Rabbi akupe ghufan akhera na duniani
Kwa uweza wa manani muweza wa kila shani
Utaingia peponi na Mtume Al amini
Odo bwana hii miziki ya wakuuuuuuuuuuuuuubwa,maana babako anaumwa magoti saa hizi nachelea......
 
Mkuu umenikumbusha enzi za mnada ulipokuwa miyuji njia ya kwenda Arusha ule ndio ulikuwa mnada mkuu. Dodoma is my second home nimekaa sana hapo Dom nimesoma shule ya Uhuru kisha Shule ya Sekondari ya Dodoma karibu na bunge...........
Du Bw M. Hamad Shossi mnada umehamia Msalato kijijini, ulishahama pale Miyuji. Huku ndio Tanzania utaiona km unavyofahamu vile vibanda vya kina mama wa vinywaji tunakaa wote awe Chama hiki awe kile tunashea umbea wote wa Bungeni na Siasa zote bila kificho, sasa humu jamvini tunatukanana mpaka naogopa,
Mimi nipo 10th street nitakucheck facebook
Jamvini usihame panafaa ila tuichangie ili iwepo hewani jamaa yangu kuliko kwenda kwenye starehe za
 
kukulilia kote huko hujanitaja jina. Lol!
Si tulikubaliana kila shairi utakalotunga jina langu litakua la kwanza jamani.,...

Basi ninapokusahau usinishushue wewe nawe
Basi tuombeane karima tuombalo tufanikiwe
Atujaalie na neema tufanyayo tufanikiwe
Husniyo na wote atuzidhishie mema maovu atuepushie

Na kheiri ya kila siku Mwenyezi atumimiminie
 
eeeeerrrr shkamoo eeerrrrghh karibu eeeeerrrrghhh nilikuwa tu najaribisha kibodi.....kwani unasoma kuanzia mwanzo?

hapana nasoma kuanzia hapa.....marahaba,hujambo binafsi na umpendaye sana,vipi hali yake????
 
hivi ule mnada bado upo njia ya veyula?
Hashycool huo mnada wa nyama choma bado upo, njoo ule utumbo wa mbuzi wa kuchoma na bia moja moto au baridi
 
Du Bw M. Hamad Shossi mnada umehamia Msalato kijijini, ulishahama pale Miyuji. Huku ndio Tanzania utaiona km unavyofahamu vile vibanda vya kina mama wa vinywaji tunakaa wote awe Chama hiki awe kile tunashea umbea wote wa Bungeni na Siasa zote bila kificho, sasa humu jamvini tunatukanana mpaka naogopa,
Mimi nipo 10th street nitakucheck facebook
Jamvini usihame panafaa ila tuichangie ili iwepo hewani jamaa yangu kuliko kwenda kwenye starehe za

Najua ulihama miyuji ukaenda mbele ya kizota kule nghuhungu kumbe umehamia msalato? mie nilikuwa kitaa barabara ya 9 kisha nikahamia uhindini mpaka naondoka mwishoni mwa miaka ya tisini nimeondokea uhindini.... na watu kibao wa barabara ya tisa nawajua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom