Inamaana umenidondokea kitambo ila unaona soo kuniambia? Hizi zama za ukweli mie nahangaika sina mwenza ww unajivunga!
haa mkuu nakumbuka ulimpa hili angalizo
Shossi karibu tena...I believe u have made more friends than 'enemies' here so you learn to live with it..after all sio rahisi kummiss kila mmoa
Lile shairi zito nadhani uliliweka kwen consideration, alikuandikia nani sijui, considering your expertise kwen mashairi nikasema usiporudi tena hapa itakuwa kweli umeamua
anyways welcome back and lets move forward
Karibu kwetu nyumbani,
Nyumbani ni nyumbani,
Ingia mpaka ndani,
Hadi chini uvunguni.
Welikamu baki bana!
Karibu kwetu nyumbani,
Nyumbani ni nyumbani,
Ingia mpaka ndani,
Hadi chini uvunguni.
Welikamu baki bana!
Babu nahitaji msaada wako wa hali ya juu nitafutie Baba_Enock wangu jamani simpati kwa email wala simu wala mawasiliano yoyote.
Nimesikia amekwenda Tanga si ndio nimeshanyang'anywa mwenzenu mie NITAISHIJE BILA YEYE
Babu nahitaji msaada wako wa hali ya juu nitafutie Baba_Enock wangu jamani simpati kwa email wala simu wala mawasiliano yoyote.
Nimesikia amekwenda Tanga si ndio nimeshanyang'anywa mwenzenu mie NITAISHIJE BILA YEYE
:A S 13::A S 13::hand::hand:
Na wewe naweeee ukiona hivyo ujue ushamwangwa tutafute watu kama sie ambao hatupo occupied kata mti panda mti.............
Habari yake AMSI DENAJapokuwa umeadnika kikwenu lakini pointi yako nimeilewa "SIO RAHISI"
Japokuwa umeadnika kikwenu lakini pointi yako nimeilewa "SIO RAHISI"
jamani Shossi ulitaka kwenda wapi?
nafurai umebaki lkn.we love you.
OOH glad to see u back brother..
welcome aboard
filamu hiyo...
kesho utasikia na mwanakijiji anaaga...
Next time nikiamua kuondoka nitaondoka kimya kimya..............