Shosti, Dena Amsi,Hashycool na Pdidy nimewasikia I am back...........

Shosti, Dena Amsi,Hashycool na Pdidy nimewasikia I am back...........

kaka leo san siro nini? au maisha?
Kaka leo nikikupa list ya tripu za kuwanga usiku hadi saa 12 asubuhi ni balaa kama kawaida tunaanzia baa za uswahili kupasha mapafu moto halafu maisha then billz then bistro then to runway lounge goshhhh balaaa
 
Unajua mimi husoma zaidi mijadala Hapa MMU kuliko kuchangia kwa sababu mazungumzo mengi ni ya timu fulani na marafiki fulani. Jambo moja, ni kweli Shossi amerudi na jukwaa limechangamka zaidi. Sina uhakika Kama sasa ana muda wa kutosha kwa mwanaye kama alivyojieleza alipoaga
 
nakutamani leo kaka....hivi kweli bei ya biere buku shing nane?
 
Unajua mimi husoma zaidi mijadala Hapa MMU kuliko kuchangia kwa sababu mazungumzo mengi ni ya timu fulani na marafiki fulani. Jambo moja, ni kweli Shossi amerudi na jukwaa limechangamka zaidi. Sina uhakika Kama sasa ana muda wa kutosha kwa mwanaye kama alivyojieleza alipoaga

usijali mkuu muda na mwanangu upo na muda wa marafiki upo nilichotaka kufanya ni ule wa ziada kujumuika na marafiki ilikuwa niuongezee kwenye kazi na mwanangu. Kwahiyo kila kitu kimerudi kama zamani...........
 
Yap mazee ila sijajua ni official kuanzia next month au vipi? Ukija mjini mazee nitakupa bata la uhakika

Mkuu jamaa zetu wa lamu zanziberi hili neno lina maana sio nzuri watu watadhani utamtafutia bata na wewe ni PIMP............
 
akchuare mitaa ya area d ndo kwangu.....karibu na skuli ya kiwanja cha ndege....lakini ukija hadi chinangali unanipata.
Du hashycool MUNGU akujalie, chako ni chako uliacha lini? hata hivyo area 'D' na Chinangali kuna madude ya kutisha unaweza ukafichwa usionekane mpaka Bunge likaisha Mji umekuwa nimemwambia Shossi sio km zamani Bunge lilipokuwa CCM Makao makuu kila mtu ukimtafuta unampata.
Safi km upo hapa mjini nilitaka kukuuliza huo mlio wa MABOMU unasikikaje paa, puu, Buum BOOOOM, basi kwa vile hukuwepo huko maji ya chumvi nawapa pole wote
 
chako ni chako kitambo kidogo....vipi mjini hapo bado gesti ngumu kupatikana kipindi cha bunge?....l.o.l
 
chako ni chako kitambo kidogo....vipi mjini hapo bado gesti ngumu kupatikana kipindi cha bunge?....l.o.l

Kaka nilikuwa Dom Dec last year sijaamini macho yangu yaani pale mjini kila baada ya nyumba mbili gesti na zote zinajaa sijui kwababu ya kibaridi cha dom?:A S 13:

Chako ni chako kama kawa mkuu makuku ya kienyeji na mambo fulani ya biere.........
 
Basi ninapokusahau usinishushue wewe nawe
Basi tuombeane karima tuombalo tufanikiwe
Atujaalie na neema tufanyayo tufanikiwe
Husniyo na wote atuzidhishie mema maovu atuepushie

Na kheiri ya kila siku Mwenyezi atumimiminie

hapo sasa ndio umeikosha roho yangu.
 
Mna vituko sana.eehe kwa hiyo walikumisi sana eti eh.man you gotta be kidding
 
Am glad you r back,

That is a wise decision, and hongera u dare to talk openly with ur tru identity! Bigup sana,

Usiichoke JF, mimi nilianza kuchangia zaidi wakati wa uchaguzi..

there are 2 people that I would really like to see them also Kiranga,W Malecela and I should add Nyani abiziani au Ngabu...
 
Back
Top Bottom