Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Mnataka na lyrics sijui?

'Loooovee, soo many things i gotta tell ya...." nisije nikamaliza utamu hapa!


220px-Musiq-Soulchild_2009-02-27.jpg


Mninyime kura tu!
 

Attachments

Nitawanogesha na mduara......mwanamke mbele mwanaume nyuma haloooo!!!!
Waliobwagwa ndo mjitafute kabisaaa...... Mwita Maranya nakusihi maamuz yafanyike mapema!!!!
 
Last edited by a moderator:
We si unajua mpango wangu binamu Paloma We fanya yako bana tupo pamoja sana kwenye hili na ukimaliza tuma Account yako tuu tumalize mambo

hapo tu binamu ndo napokupendea.............ila una pumzi? sio ufike jukwaani afu unatuletea sauti yenye kubanja!
 
ni vyema kuweka korabo ya songii lako hapa ili majaji wapitie na kuuufanyia kazi besti
tuma sasa
huko nilikowekwa ni pagumu lakin tatoka nipeni kura zenu manyimbo yote nayajua mimi
ukihitaji wimbo wamchana nibeep ntakupigia ukihitaji wimbo wa asubuhi ni sms ntaku sms pia,
ukiihitaji wimbo wa usiku nipigie ntakuitika nadhani kwa vibwagizo hivi (NAHITAJI KURA ZENU)
 
mara nyingi undugu haufutiki hata kije kimbunga cha aina gani
undugu unabaki kuwa palepale labda ndoa waweza kuomba talaka
weka wimbo wako hapa watakupigia kura wana mmu

Kuna wimbo uko kwenye kitabu cha nyimbo za kichagga unaitwa "ngileenengo iisaria" muulize kiwatengu na Mamndenyi wanaujua ulivyo mzuri
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom