ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
- #41
HAA jamani bestito !!!!
yaani sie hatuli hongo wala nini kwani vichwa
miili, na hisia zetu zimetakasika hivyo hatuko hivyo ondoa shaka Lol!
yaani sie hatuli hongo wala nini kwani vichwa
miili, na hisia zetu zimetakasika hivyo hatuko hivyo ondoa shaka Lol!
nikiangalia orodha ya majaji tu tayari najua nimeshashindwa.......
wanapenda hongo haoooooo, na mimi kuhonga nimepata F