Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

MATOKEA RASMI NI HAYA HAPA:

MPAMBANO NI MKALI SANA WASANII WAMEFUATANA POINT KILA MMOJA ANA NUSU POINT
ACHAGULIWE NANI AACHWE NANI acha tutangaze sasa

 
hala hala. ndugu wapenzi washiriki wa shindano hili nzuri na muhimu sasa napenda kuweka baadhi ya mambo kwa uwazi zaidi baada ya kupitia maoni mengi sana ya wadau humu from 1st page to the last page! mshindi wetu ni...ooops! subirini ladyfurahia aje
 
Last edited by a moderator:
ukinipa umenipa..hata mimi hapa ni wa siku nyingi. huyu Heaven on earth anajidai hanijui?

mi ndiyo jaji pekee! tena mtenda haki. matokeo nitakayotangaza mimi ndiyo halali. period!!

ladyfurahia, Paloma Heaven on earth, Bujibuji na Fixed Point zoezi lakutangaza mshindi ni la kwangu! kwa mamlamka niliyopewa hapo awali. hakuna mwenye uwezo wa kuyanyang'anya tena. na niseme tu mpaka sasa kinyang'anyiro kinaendelea. pigeni kura

Wait..matokeo original si ninayo mimi? labda utangaze hayo yakuzugia tu. afu baadae niweke mambo hadharani.

hala hala. ndugu wapenzi washiriki wa shindano hili nzuri na muhimu sasa napenda kuweka baadhi ya mambo kwa uwazi zaidi baada ya kupitia maoni mengi sana ya wadau humu from 1st page to the last page! mshindi wetu ni...ooops! subirini ladyfurahia aje


dogo acha kupiga mayowe basi...........mbona wenye majukumu yao wametulia! wewe huo ujaji feki unauvalia njuga hivi kwa nini?!?!?

washiriki wote shtukeni mmnachakachuliwa!!!!

na kwa mantiki hii ya ufekifeki NATENGUA KILA KAULI NILIYOITOA KUHUSU WEWE.
NA NINAREJEA KWENYE KITI CHANGU!!

Haya chapa lapa kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...............
 
SHINDANO KAMILI LA MSANII BORA WA CC MUSIC AWARD 2013

Tunaanza kwa kumtangaza mshiriki au mshindi wa nafasi ya 3 bora ya cc music award

naye ni View attachment 111713 MAMNDENYI NEW 03.jpg
Mamndenyi

Huyu mwadada yeye ameshika nafasi bora kutokana kura nyingi kuhariibika
hivyo kusababisha usumbufu wa kuhesabu kura zake, sijui marafiki zake
walimfanyizia

UHALISIA WAKE ALIPOKUWA KAMBINI:

Ni mbunifu wa mitindo, ana staha na heshima nyingi
ni mtu ambaye anawapenda wenzake na anayetii
viongozi wake hususani walimu wake stevoh na Pasua Kichwa
Ni msanii ambaye anapenda kujifunza yale anayofundishwa
na walimu wake na vilevile hapendi kuonewa hovyohovyo

Alijizolea umaarufu alipokuwa katika wiki ya 6 kambini na wenzake
walipenda sana kwani aliweza kuendana nao kitabia ingawaje
alikuwa anakasirika pindi wanapomuuzi, hapendi kebehi kabisa
na ni mfano wa kuigwa.
Ana MVUTO WA KIPEKEE sana awapo PLATFORM

Ameshatoa songi lake kali lijulikanalo TANZANIA NAIPENDA
Hivi karibuni mtalisikia songi lake mtandaoni na redioni pia


Aliyeshika nafasi ya 2 ni msanii huyu hapa:
bak.jpg CHETI CHAKE HIKI HAPA: BAK NO2.jpg
BAK


yeye alishika nafasi ya 2 katika shindano la cc music award

UHALISIA WAKE ALIPOKUWA KAMBINI

Mshiriki huyu ana nidhamu ya hali ya juu na ni mtu anayependa watu
na hasa wenzie aliokuwa nao kambini, mtanashati yaani handsome,
anaheshima kubwa na mtu anayejali sana watu, mcheshi na anayependa
kujifunza toka kwa walimu wake Mtambuzi, Paloma na Pasua Kichwa
anawasikiliza sana na amejifunza hata kupiga Pianist na mpigaji gitaa
pindi anapokuwa pekee yake anapenda kujiliwaza sana kwa ala za music
Anapiga kinanda kwa sana utadhani kichaa kapewa rungu akupige (jokes)

Ni mfano wa kuigwa anastahili hiyo tuzo yake

HEBU TUCELEBRATE KWANZA KABLA MAJAJI HATUJAMTANGAZA KINARA
ALIYEIBUKA MSHINDI WA CHITCHAT MUSIC AWARD 2013

cele1.jpg


PIGENI MAKOFI TAFADHARI PIGA MAKOFI TAFADHARI

celebrationtime 2.jpg

HEBU MWANGALIENI MWANAMZIKI ALIYE NA MVUTO
NDO TUNATAMTAKA MWANAMUZIKI HUYO ALIYE NA MVUTO WA KIPEKEE MWONE HUYU
KABLA SIJAMTANGAZA MWENYEWE HAPA KINARA:

PFOJ JE KIMZIKI ZAIDI.jpg

NA MSHINDI NI niiiiiiiiiiiiiiiii niiiiiiiiiiiiiiiiiiii niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
weraaaaaaa weraaaaaaaaaa
hebu JAJI Bujibuji nipe hiyo bahasha la mshindi aliyebakia
jamani tunatangaza rasmi mshindi wetu wa leo wa tuzo ya

CHITCHAT MUSIC AWARD wa mwaka huu ni niiiiiiiiiiiiiiiiiii

Ni niiiiiiiiiiiiiiiiii Fixed Point

F....... I......X.......E......D P.....O.......I....N...T

celebrationtime 2.jpg

Tumeshampata mshindi wa tuzo ya cc music wa 2013

fp.jpg CHETI CHAKE HICHI HAPA: FP CHETI 01.jpg Fixed Point ndiye mshindi wetu wa leo mwenye MVUTO WA KIPEKEE
NDICHO TULICHOKUWA TUNAKIITAJI SANA MTU WA KIPEKEE
ANAYEONEKANAKWA HADHIRA YETU AMBAYE ANA MAUZO TUKIMPELEKA
SOKONI HATATUANGUSHA JAMANI SI MNAONA WENYEWE.


UHALISIA WAKE ALIPOKUWA KAMBINI

Alikuwa mtu mpenda watu, staha, mbunifu na anajali watu
asiyependa makuu, mwenye heshima na msikivu kwa walimu
wake Pionist, na Pasua kichwa yeye alikuwa anajifunza kila kitu,
na aliweza kujifunza kupiga kinanda kwa ustadi mkuu sana,
Hakupenda kuwauzi wenzake bali alishirikiana nao kwa kila kitu
alikuwa mtu anayejituma, na anayejali, na mwenye MVUTO wa kipekee


SHUKRANI ZIWAENDEE WADHAMINI WETU HAWA

View attachment 111732

View attachment 111733

SHUKRANI ZA KIPEKEE ZIWAFIKIE MAJAJI WENZANGU NILIOSOTA NAO KAMBINI
KWA KUHESABU KURA NA KUKOSA USINGIZI WA SIKU 2 KISA ETI KURA
INAHUUUUU Bujibuji na sosoliso asanteni

Shukrani za kipekee ziwaendeee HADHIRA NA WANAJF NA CC WOTE humu
mjengoni nasema mshindano ndo kwanza yanaanza hivyo endeleeni kukaa
mkao wa kushiriki mwakani 2014

Nasema AKSANTENI NA KARIBUNI 2014

PROF J.jpgpokeeni zawadi hii ya songi la PROF J

ZAWADI ZA WASHINDI HAO WATAPOKEA KULE PM

Ciao mabestito








 
Last edited by a moderator:
Asante asante asante sana. Asante Mungu kwa ushindi wa namba tatu. Asante mratibu ladyfurahia asante majaji wote. Asante mlionipigia kura wote. Asante pia mlioharibu au kuninyima kura. Asante mpenzi wangu chama. Thank u all.
 
Last edited by a moderator:
hii inanikumbusha zile live interview mjengoni za shakumpempe Zinduna....hivi zimeishia wapi jamani?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom