Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

MATOKEO TTENA:

Jamani hapa majaji tuna kazi yani sasa jaji mwenzetu sosoliso
analichanganya hadhira yaani yeye ni jaji kisha yeye mpigaji kura
MNATAKA TUMFANYIE NINI MTU HUYU HAPA
SEMENI BASI? AFANYIWE NINI MTU HUYU ANAYEJIITA KUWA
JAJI HALAFU KAZI YA UJAJI HAIWEZI?

NAOMBA MSEME AU HAMNISIKII JAMANI Sandeni, Paloma, stevoh, Mr Rocky semeni
 
Last edited by a moderator:
naona amekupa hii kitu money.jpg HAIWEZEKANI ndo maana
ulitulia sana pale kumbe ulikuwa unachimba dawa?
ladyfurahia, nilikuahidi kutenda haki, si umeona my ex Mamndenyi nilivyo mtendea haki? chama, mie sina ugomvi na wewe nawapongezeni sana
 
jamani mwambie mumewe sosoliso akukubalie usimwambie yeye kwani
huku nyuma ya hema tuko majaji watatu na hatuongezi mwingine kwani
tulivyokuwa tunachagua ana kupendekeza majaji wewe ulikuwa wapi
bestito umeshachelea kwani tumeshawatangaza washindi TOP5 kisha
TOP3 sasa itakuwa ngumu kwako kucheki makaratasi ya nyuma ya
orodha ya wasanii waliopita na kujua idadi ya kura zao watajisikia vibaya

Hivyo nakuomba msimu ujao utakuwa jaji naomba leo usiwe jaji wewe
mpigie mshiriki kura yako hapa ndo kinachowezekaana kwa leo
samahani sana kama umejisikia vibaya nisingependa kukuudhi bestito
MAJIRA KAMA HAYA MWAKANI UTAKUWA JAJI PLS NAKUOMBA

kagua page ya 18. tumefanya makabidhiano na paloma pale. mi ni jaji rasmi!!
 
Last edited by a moderator:
umeona eeehhh!
huo ujaji kapewa na nani kwani?

bora umemwambia maana nilikuwa nashangaa tu......
naona kazi nzuri meneja wangu

ladyfyrahia mwenyewe hautambui ujaji wake..........

anababaika hata kutaja mda waliokabidhiana ujaji na paloma....

mie siwezi kukuangusha hapa labda waibe kura zetu tu
 
ladyfyrahia mwenyewe hautambui ujaji wake..........

anababaika hata kutaja mda waliokabidhiana ujaji na paloma....

mie siwezi kukuangusha hapa labda waibe kura zetu tu
ha haaa, mdogo wangu na kura hawawezi kuiba..... tumewatolea macho na masikio, lol!
 
nimeshika ujaji tokea kwenye top5.. hapo mi ndiyo nina mamlaka napo ya mwakani ni mwakani, nataka haki itendeke hata kama utamtangaza mshindi bila haki tutaingia msituni. tuwe makin na mnitambue mapema, tokea kwenye top5 nipo hapa kama jaji. usipinge
 
Back
Top Bottom