ushawahi kupigwa mawe wewe........NAKUULIZA ULISHAWAHI!!!!!!!!!!!!
afu kuna uwezekano wa wewe kuharibu huu mchakato. kama utanikataa jaji mimi, ambaye niko fair
ushawahi kupigwa mawe wewe........NAKUULIZA ULISHAWAHI!!!!!!!!!!!!
kagua page ya 18. tumefanya makabidhiano na paloma pale. mi ni jaji rasmi!!
afu kuna uwezekano wa wewe kuharibu huu mchakato. kama utanikataa jaji mimi, ambaye niko fair
fafanua ni mawe ya aina gani..coal, stones au?
sasa wewe huku upige kura huku uwe JAJI mbona unawachanganya
mashabiki / hadhira yetu hapa kama huwezi kiti cha mkeo sema tumweke
mwingine hapa kuliko kujitachanganya hivyo, unataka hadhira itushtaki
kwa kupokea wewe takrima kwa washindi waweze shinda
KUWA MUWAZI NA MKWELI UNATAKA KITI CHA JAJI HUTAKI?
jibu ndio/hapana hapa kabla hatujamtangaza mshindi
au unataka kutoa siri huku juma ya jukwaa? USITUZUNGUKE BURE
nimeshika ujaji tokea kwenye top5.. hapo mi ndiyo nina mamlaka napo ya mwakani ni mwakani, nataka haki itendeke hata kama utamtangaza mshindi bila haki tutaingia msituni. tuwe makin na mnitambue mapema, tokea kwenye top5 nipo hapa kama jaji. usipinge
Kuna mtu kajipendekeza kachukua hicho kiti cha mke wangu Paloma na kwa ridhaa yake.. Ndo maana nimebaki mpiga kura tu huku mie ladyfurahia..
hahaa
wafuatao kura zenu
figganigga
grafani11
Munkari
Mokoyo
Kaizer uje na mkeo hapa
DEMBA umkumbushe sugar dady wako mumpigie kura dada angu
kiwatengu huyu najua atakua upande wa wife
vivian tuweke tofauti setu kando
ladydoctor najua huwezi kuniangusha wii wangu
mwekundu sa hivi uko poa viagra inafanya kazi
Mshinga leo njoo chitchat mpigie dada angu kura
Mrembo by Nature ukiruhusuwa kwenda mjini usisahau kupiga kura
hao ni wachache my dada Fixed Point lisu inaongezeka
mmhh nani huyo anajua kurengaa hivyo... t...a....m...b....u.....z.....i.......????
tokea asubuh kazi nimeanza
Kuna mtu kajipendekeza kachukua hicho kiti cha mke wangu Paloma na kwa ridhaa yake.. Ndo maana nimebaki mpiga kura tu huku mie ladyfurahia..
tokea asubuh kazi nimeanza
nimeshakichukua mimi na kazi naimudu vyema. naendelea sasa!
hahahaaaaaaaa................
Heaven on earth, Paloma, watu8, stevoh, Youngermaster, sosoliso, Jiwe Linaloishi, Mamndenyi, Fixed Point, amu, KakaKiiza, Kipaji Halisi, Kijino, Lady doctor, Passion Lady, BAK, MziziMkavu, snowhite, gfsonwin na Asprin jooeni kumuona