Mkuu ladyfurahia Hongera sana. Mshindi wa hili shindano lako atapatikana lini?
mpaka sasa washindi rasmi sijawatangaza. mi ndiyo jaji wa utangazaji endelea kuomba kura pengine ukashinda et
Last edited by a moderator:
Mkuu ladyfurahia Hongera sana. Mshindi wa hili shindano lako atapatikana lini?
Mamndenyi kama umri wangu unaniruhusu basi naomba kura yangu ihesabiwe katika kapu lakohabarini marafiki wote humu mjengoni
Lile pambano la kukata na shoka limewadia tena kistyle ya kipekee sana
tutakuwa tunatembelea kila mkoa wa hapa jukwaani na kutafuta wasanii
amabao watawakilisha TOP20 WA CC. Linalojulikana kwa CC MUSIC AWARD
ya 2013, hivyo majaji tutakuwa tukienda kila mkoa kusaka vipaji vya wasanii watano
ambao watakuja LTHP kwa ajili ya kuanza kinyanganyiro hicho.
ANGALIZO: Wasanii wanaosakwa ni lazima wawe na mvuto wa sura, (avatar)
huu ndo unaomata zaidi, wawe wanatawala jukwaa kiaina, wawe na uwezo wa uimbaji
hasa nyimbo mchanganyiko, wavuke range ya uimbaji na wawe wanajua notation.
wajitume kwa bidii zote. na vilevile wawe watu wenye nidhamu wawapo kambini .
ATAKAYELETA NYODO KUONDOLEWA MASHINDANONI NA HAGOMBEI KABISA
ONYO: UJUMBE WENYE LUGHA CHAFU/MATUSI UFUTE NA DELETE KABISA......
MAJAJI NI:
1. Chief Jugde: ladyfurahia 2. Judge: Paloma 3. Judge Bujibuji Mwaikimba
ZIARANI MKOA WA SIASA
Kutokana namchujo wa nguvu na kukaa kwa siku 3 tumeweza kuwapata wasanii
watano ambao watakawakilisha mkoa wa SIASA , walijitokeza wengi sana na ndipo
majaji tutakaa na kuona kuwa hawa: EMT, Fundi Mchuno Njano5, chankaka
na Buchanan hao ndo bora zaidi kule siasani.
kulikuwa na vituko mbalimbali wako waliokuja kwa style ya kulia, wengine kucheka,
wengine kununa, ilimradi tu ni vituko na majanga, lakini kutokana na jaji Paloma kuchambua sana
ndipo tukaweza pata hao. KIFASTJET ZAIDI
ZIARANI MKOA WA JAMII INTELLIGENCE
Nako bila ajizi walijitokeza wasanii wengi zaidi ya 500, ndipo tukafanya mchujo na
kuweza kupata wa5 watakaoweza kuwakilisha mkoa huo nao ni: Nzi, stroke, Sibonike,
@Blooklyn na C.T.U, ingawaje kulikuwa na vituko vya kisomi zaidi kwani wengi wao waliimba
kiswanglish kisichoeleweka, walikuwa wakijifanyisha kama Michael Jackson ni vituko tu
vilijaa kule yani full kucheka. KIFASTJET ZAIDI.
ZIARANI MKOA WA MMU
Sasa huku ndo majanga tuliyoyakumba, nusura tukimbie mkoa huu yaani full kufurahi na
kushangaa kwa vituko tulivyovikuta wasanii walikuwa wengi sana zaidi ya1500 walikuja kuota
ndoto yao njema. Wengine kwa mavazi waliyoyavaa ni vituko huwezi simulia hapa yani aibu,
wengine walikuja na style ya kimtokotoko, wengine kikanisa, wengine kiblazamen
ilimradi ni full shangwe tu tulichoka sana na tukashindwa kuwamaliza ila tuliowapata
ndo hawa wafuatao😡Afrodenzi, Excellent, matonya, miss strong, Simplicity, Mzee, Bishanga, Kongosho, mwaJ, ummu kulthum, Himidini, Mtoto wa Mkulima, shansare na BAK
WENGINE NI: jouneGwalu, Filipo, Nicas Mtei na mwanadada madame A. KIFASTJET ZAIDI.
ZIARANI MKOA WA ELIMU/LUGHA/BUSINESS FORUM/ SHERIA/JOKES NA KISIWA CHA MAPHOTO
Tuliweza kuwasaka wasanii wanne tu ambao ni: The hammer, MziziMkavu, King Kong III NA LIKUD hao watakawakilisha hiyo mikoa niliorodhesha juu na wao walikuja kwa style ya kipichapicha
tu uimbaji haukuwepo kwao yaani walivaa nguo za wasanii wa mamntoni ili mradi kushindana kwa mavazi
kwanini sisi tulikuwenda kule msaka mrembo bora ndo maana tukaweza ambulia hao watatu lakini haao ni
majanga tu hamna kitu KIFASTJET ZAIDI.
ZIARANI MKOA WA CHITCHAT
Sasa hapa ndo kazi ilichukua takribani masaa 24 kwa siku 7 kila mmojawao anataka ashinde
tulikuwa na kazi ngumu sana cause ndo sehemu ambayo shindano litafanyika na wasanii wengi walikuja
kikazi zaidi wako walioleta njonjo kama sio ndondo, wako waliorumbana na majaji na kusema si lolote hawa,
wako waliokuja kisista duu, kiblazameni, wengine kisomi zaidi, wako waliokuja kama wanashangaa waelewi kinachoendelea,wako waliokuja namagitaa na wakati siye twamtafuta mwimbaji bora na sio chombo chake. Lol!!
Wafuatao ndio waliochaguliwa na majaji kwa mchujo mkali nao ni: Chimbuvu, Mamndenyi, sweetlady, Passion Lady, Lady doctor, charminglady, FirstLady, WiseLady, stevoh, Mtambuzi, Arushaone, Mr Rocky, Donn, Preta, Fixed Point, Smile, amu, Asprin, KakaKiiza, Jiwe Linaloishi, Heaven on earth, heaven on desert, Kipaji Halisi, Himidini, Mwita Maranya, Madame B, madame x, AshaDii, gfsonwin, Lady Unbreakable, mamamia, grafani II, ogopa sana, yaani hawa ndo angalau kidogo wana mwelekeo.
Cha kushangaza na kustaajabisha zaidi yule shabiki wa Timu ya Yanga alivyotia timu ndani CC MUSIC AWARD
na kuanza kutuponda hasa kumponda jaji Paloma kwanini alimwambia aende kushabikia yanga na wakati
yeye ana kipaji cha kuimba na tena amejifundisha zaidi yeye na mwalimu wake mkuu ni Jiwe la D'mnd
yaani ilikuwa ni fani ya aina yake. si mchezo. ungekuwa wewe ndo jaji nadhani ungepandwa na mchecheto wa hasira
na kusema "i hate u" kama yule kichaa wa ZIARA IMEKWISHA TUNARUDI CC SASA
Wasanii tuliowapata 50 tunawachuja mpaka tupate wasanii TOP20 tu ambao mtawapigia kura ili wiki ijayo tuone nani ameeingia kwenye kinyang'anyiro cha TOP20 WA CC MUSIC AWARD 2013.
KAZI KWENU JF KADRI UNAVYOPIGA KURA NDIPO UNAWEZA KUMUWEKA MSANII UNAYEPENDA
KWENYE LIFE LIST KAMA HUTASHINDWA KUMPIGIA KURA BASI ATAKUWA KWENYE BAN LIST AU HATADISCO KWA KWENDA HOME.
KARIBUNI
Wasalaamu
Ladyf
MRATIBU WA CC MUSIC AWARD
View attachment 111766kwenu mahakimu nama pirato kura yangu jamani nimetupia kwa Mamndenyi
Yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!
:majani7::majani7::majani7::ma jani7::majani7::majani7::majan i7::majani7::majani7::majani7: :majani7::majani7::majani7::ma jani7::majani7::majani7::majan i7::majani7::majani7::majani7:
Shukrani kwa wote walionipigia kura.....
special thanks kwa kampeni meneja wangu na mdogo wangu kipenzi Heaven on earth.... kweli nimekuaminia.
Asante sana twin wangu Ablessed kwa kuhakikisha unasimamia kura kikamilifu zisichakachuliwe.
Asante sana binamu yangu mpendwa Jiwe Linaloishi kwa kuhakikisha ushindi unakuja nyumbani....
Wadogo zangu KOKUTONA, cacico....... list ndefu sana, nawashukuru sana kwa kupiga kura.
Wagombea wenza Mamndenyi na BAK hongereni sana kwa nafasi mlizochukua.... next time mtashinda nafasi ya kwanza.
Mwisho ni kwa wanakwaya wenzangu hasa hasa pianist Kaizer....... shukrani sana kwa kucheza kinanda vizuri mpaka tukapata ushindi...... ladyfurahia..... you are the best event organizer and chief judge ever...... Bujibuji, pamoja na kupokea rushwa ya wazi kabisa teka kwa wa ubani wako wa zamani haki imechukua mkondo wake.
Nina uhakika kampeni meneja wangu Heaven on earth ataandaa event na kuwaalika wote mlioshiriki tusherehekee ushindi huu.
ASANTENI SANA WANA CC WOOOOTEEEEEEEEEEEEEEEE
NAWAPENDA SANA
:A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11:
Yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
Shukrani kwa wote walionipigia kura.....
special thanks kwa kampeni meneja wangu na mdogo wangu kipenzi Heaven on earth.... kweli nimekuaminia.
Asante sana twin wangu Ablessed kwa kuhakikisha unasimamia kura kikamilifu zisichakachuliwe.
Asante sana binamu yangu mpendwa Jiwe Linaloishi kwa kuhakikisha ushindi unakuja nyumbani....
Wadogo zangu KOKUTONA, cacico....... list ndefu sana, nawashukuru sana kwa kupiga kura.
Wagombea wenza Mamndenyi na BAK hongereni sana kwa nafasi mlizochukua.... next time mtashinda nafasi ya kwanza.
Mwisho ni kwa wanakwaya wenzangu hasa hasa pianist Kaizer....... shukrani sana kwa kucheza kinanda vizuri mpaka tukapata ushindi...... ladyfurahia..... you are the best event organizer and chief judge ever...... Bujibuji, pamoja na kupokea rushwa ya wazi kabisa teka kwa wa ubani wako wa zamani haki imechukua mkondo wake.
Nina uhakika kampeni meneja wangu Heaven on earth ataandaa event na kuwaalika wote mlioshiriki tusherehekee ushindi huu.
ASANTENI SANA WANA CC WOOOOTEEEEEEEEEEEEEEEE
NAWAPENDA SANA
:A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11:
thanx to you my dearest mdogo wangu kwa kufanikisha haya....jamani furaha niliyonayo hapa dada angu Fixed Point haielezeki jamani....
event itaandaliwa ili tusherekee ushindi.......
na mie nichukue nafasi hii kuwashukuru woooote waliokupigia kura
Mungu awabariki sana
thanx to you my dearest mdogo wangu kwa kufanikisha haya....
I love you so so osoooo much
shukrani mdogo wangu....I love you too cicy and am very PROUD having a sister like you.......
asante sana rafiki kwa kusherekea nami....
hongera sana pia kwa ushindi wa pili......
Ngoja tuongee na waandaaji tuone uwezekano ku kufanya kolabo tutoe single yetu, unaonaje rafiki?
cc. ladyfurahia....
my campaign manager Heaven on earth
that's my lil sis........hili swala tutalifanyia kazi.......najua collabo yako na BAK
lazima iwe balaa.......sa hivi tusherekeee ushindi kwanza
shukrani mdogo wangu....
pamoja sana
that's my lil sis........
:A S 11:
ulale salama mdogo wangu....Good night cicy ngoja nilale maana nimesherehekea huu ushindi hapa niko hoi......