Yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
Shukrani kwa wote walionipigia kura.....
special thanks kwa kampeni meneja wangu na mdogo wangu kipenzi
Heaven on earth.... kweli nimekuaminia.
Asante sana twin wangu
Ablessed kwa kuhakikisha unasimamia kura kikamilifu zisichakachuliwe.
Asante sana binamu yangu mpendwa
Jiwe Linaloishi kwa kuhakikisha ushindi unakuja nyumbani....
Wadogo zangu
KOKUTONA,
cacico....... list ndefu sana, nawashukuru sana kwa kupiga kura.
Wagombea wenza
Mamndenyi na
BAK hongereni sana kwa nafasi mlizochukua.... next time mtashinda nafasi ya kwanza.
Mwisho ni kwa wanakwaya wenzangu hasa hasa pianist
Kaizer....... shukrani sana kwa kucheza kinanda vizuri mpaka tukapata ushindi......
ladyfurahia..... you are the best event organizer and chief judge ever......
Bujibuji, pamoja na kupokea rushwa ya wazi kabisa teka kwa wa ubani wako wa zamani haki imechukua mkondo wake.
Nina uhakika kampeni meneja wangu
Heaven on earth ataandaa event na kuwaalika wote mlioshiriki tusherehekee ushindi huu.
ASANTENI SANA WANA CC WOOOOTEEEEEEEEEEEEEEEE
NAWAPENDA SANA
:A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11: