Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
kwaya......unaimba nyimbo gani vile ,ni kwaya au nimekosea
hujaona kibao cha timu yangu hapo juu?
kwaya......unaimba nyimbo gani vile ,ni kwaya au nimekosea
Umeona eeehhhh!Pamoja sana 2Heaven on earth. Dada yetu ni wa ukweli eti?
Umeona eeehhhh!
nawapendaje sasa wadogo zangu!
mi sina hata hamu na pamoja na kuji brother sugercane kote huko nimetolewa kwenye mashindano
sasa sijui hata nimpigie nani kuta maana Fixed Point ni dada yangu na Mamndenyi ni mama yangu huku kuna shemeji Mr Rocky jasho linanitoka darling kiwatengu embu nipe ushauri nimpendelee nani hapa
umeona sasa nilisahau mcheza kinanda.... afadhali umekumbusha hilo.
basi wewe tutakuachia hiyo kazi ya kinanda

Na mshedede unaukosa.wewe Heaven on earth acha maneno, mwenzio nawahi kuamka kumuandaaa huby. si unajua hawa usipowapetipeti wanasombwa na kimbunga.
Nafikiri na sisi tuandae shindano kule kwa wakubwa. Atakaye kuja na singo kali ya mwaka anachukua zawadi ya kufa mtu.Shindano limekwisha grafani11 sisi tujirudie tuu nyumbani na magitaa yetu bana
Halafu Heaven on earth Mbona ile issue yangu uliichinjia baharini
Nafikiri na sisi tuandae shindano kule kwa wakubwa. Atakaye kuja na singo kali ya mwaka anachukua zawadi ya kufa mtu.
ina maana uko hivi tena View attachment 111574shem sosoliso mambo gani tena haya
mwenzio hapumui juzikati kafyatua matwins leo tena hivi ndo niini upangi uzazi wa mpango jamani
acha kumfanyia mwenzio hivyo bana mpaka anakosa kufanya kazi ya ke kama JAJI. Umenilostisha shem!
asante sana kwa kura yako na kunipigia kampeniHeaven on earth tushatolewa bana Ngoja tuugulie maumivu hapa tumsupport Fixed Point hapa tuu shansarie asante kwa kura yako