wewe Heaven on earth ni Jaji halafu unapiga kampeni tena?
hahaa
wafuatao kura zenu
figganigga
grafani11
Munkari
Mokoyo
Kaizer uje na mkeo hapa
DEMBA umkumbushe sugar dady wako mumpigie kura dada angu
kiwatengu huyu najua atakua upande wa wife
vivian tuweke tofauti setu kando
ladydoctor najua huwezi kuniangusha wii wangu
mwekundu sa hivi uko poa viagra inafanya kazi
Mshinga leo njoo chitchat mpigie dada angu kura
Mrembo by Nature ukiruhusuwa kwenda mjini usisahau kupiga kura
hao ni wachache my dada Fixed Point lisu inaongezeka





