Muulize grafani11 anaijua bana
Nyie mmenichunia siku hizi ndo maana na mimi nanyamaza kimya kabisa
Yaani Heaven on earth wacha tuu tumebeba magitaa na vinanda eti hata Top ten hatupo mi Nahisi rushwa yangu binamu Paloma kaingia nayo mitini na ladyfurahia kachakachua kura zangu hapo
yaani shindano limeshafika tano bora.....hivi nitoe singo yangu ama ful albam maana nilikua kwenye semina jangwani hivyo sikupata muda wa kushiriki na nimejiona niko nominated..naomba mwongozoo
ha haaa, hapa mimi nasubiri kampeni meneja wangu Heaven on earth aniombee kura kwa wana-team woooteeeee
hivi nitoe singo yangu ama ful albam maana nilikua kwenye semina jangwani hivyo sikupata muda wa kushiriki na nimejiona niko nominated..naomba mwongozoo
sasa hapa mwendesha shindano unatupa mtihani......
tutapigianaje kura hapa?
kampeni meneja wangu Heaven on earth upo? umeona kazi hapa?
ha haaa, hapa mimi nasubiri kampeni meneja wangu Heaven on earth aniombee kura kwa wana-team woooteeeee
#teammvutokwanza
unampa mwenzio kura wakati nawe humo shauriro
Mbona malkia wangu unanichanganya sasa, wewe pia umo kwenye kinyang'anyiro sasa nimpigie yupi?hahaa
wafuatao kura zenu
figganigga grafani11 Munkari Mokoyo Kaizer uje na mkeo hapa DEMBA umkumbushe sugar dady wako mumpigie kura dada angu kiatengu huyu najua atakua upande wa wife vivian tuweke tofauti setu kando ladydoctor najua huwezi kuniangusha wii wangu mwekundu sa hivi uko poa viagra inafanya kazi Mshinga leo njoo chitchat mpigie dada angu kura Mrembo by Nature ukiruhusuwa kwenda mjini usisahau kupiga kura
hao ni wachache my dada Fixed Point lisu inaongezeka
sande sana kwa kunipokela wadhifa wangu. tugawane tu takrima utakazopokea!
nimekumiss sana! hebu uje tujuliane hali siku moja!
nakuaminia binamu, asante sana......
pole sana na majukumu binamu. lakini angalau umetia timu kupiga kura
Lini amegeuka supa glue?tatizo una nata sana binamu!!!!!!!
mhm pole jaji basi zamu yako atakushikia Mtambuzi
ila huyu jamaa anapenda kuwapendelea watu sijui itakuwaje l
abda nimteua makamu wake amsaidie naye ni Jiwe Linaloishi
ila naye hapatikani sijui tufanyeje?
JITAHIDI BEST MWAYA UWE WEWE MAANA HAWA NILIOWATEUA NI MAJANGA TUPU
AU MWAMBIE MUMEO sosoliso AKUSHIKIE ZAMU YAKO
matwins bado hayajatoka......................ndo yananipelekesha hapaa!!!
mmhh mi ujaji utanishinda binamu yangu yumo kwenye ushindani ukinipa ujaji siwezi kumwangusha ili haki itendeke kikombe hicho na kiniepuke.