Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
nakuaminia binamu, asante sana......Binam wala usipate tabu ya kutoa bakshishi... kura yangu umepata.
Mzima lakini binam? majukum yamebana kweli mpaka naonekana kwa kubip utafikiri indiketa ya boda boda
pole sana na majukumu binamu. lakini angalau umetia timu kupiga kura