Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Tumeshaona na tumefuta kura yake kwani tulitaka mtu ampigie mmoja au wawili basi
hivyo kura yake imekuwa dustbin haifai
sasa mbona unawapendekeza wapiga kura . Hapana haiwezekani hili shindano haliko fair kabisa. Majaji hebu njooni muone washiriki wanavyofanya huku.
 
si umeona hadi Mamndenyi keshanyanyua mikono mapema..........

hii ikimaanisha my dada Fixed Point ni mshindi aliyebakia............

duh Mamndenyi mbona umekubali kushindwa haraka hivyo.............

sasa inakuwa ile ya kupiga kura mtu na kivuli cha mtu........enzi za Nyerere
unajua kuwa mimi na Mamndenyi ni marafiki sana?
hapa walikuwa wanatukwaza tu. maana kwa hakika nisingekuwa kwenye mpambano basi angepata kura yangu.
Asante sana mdogo wangu, yaani kusikia wewe ni kampeni meneja tu watu wananyosha mikono, kweli wewe chiboko
 
Last edited by a moderator:
Nimechungulia kura na kuona unaongoza kwa idadi kubwa sana 🙂🙂 kura yangu nimekupa weye 🙂 hivyo kaa mkao wa kula tayari kusherehekea ushindi wako wa Tsunami. Party la nguvu sana ila nina wasiwasi matokeo yanaweza kuchakachuliwa maana niliwaona akina nanihii 🙂🙂 mgombea wao katupwa vibaya sana 🙂 nyuso zilikuwa zimewashuka 🙂 kama hakuna uchakachuaji mshindi ni wewe 🙂🙂

ha haaaa, unanitania dada mkubwa!
shauriyo......
huyu BAK hata sijamsikia, sasa sijui yupo kambi gani? akuje kutuambia hapa.
Huyo mdogo wangu Heaven on earth namuaminia sana..... ushindi hapa ni lazima
 
Nimechungulia kura na kuona unaongoza kwa idadi kubwa sana 🙂🙂 kura yangu nimekupa weye 🙂 hivyo kaa mkao wa kula tayari kusherehekea ushindi wako wa Tsunami. Party la nguvu sana ila nina wasiwasi matokeo yanaweza kuchakachuliwa maana niliwaona akina nanihii 🙂🙂 mgombea wao katupwa vibaya sana 🙂 nyuso zilikuwa zimewashuka 🙂 kama hakuna uchakachuaji mshindi ni wewe 🙂🙂
asante kwa kura rafiki....
wala usiwe na shaka la uchakachuaji, kampeni meneja wangu ambayo ni mdogo wangu Heaven on earth yupo makini sana, hawezi kuruhusu uchakachuaji hapa
 
Last edited by a moderator:
Natangaza rasmi walioshinda

1. MKOA WA SIASA NI: 1. EMT

2 MKOA WA JAMII INTELLIGENCE : Hakuna mtu aliyepita hapa kwani hawajapigiwa kura hata ya NDIO/HAPANA

3: MKOA WA MJINI MAGHARIBI: yaani MMU: walioshinda ni: BAK , jouneGwalu na
(huyu anachechemea ) Bishanga
mkoa huu wanakazi kubwa kwani mchuano ni mkali sana mpaka jaji Paloma ailisinzia jana tokana kwa kuchelewa kulala yanni tumechoka mpaka basi jamani ilikuwa ni KIFASTJET ZAIDI

4: MKOA MCHANGANYIKO yani: LUGHA, SHERIA, ELIMU, JOKES, BUSINESS FORUM NA MAPHOTO
Hapa mchuano haukuwa mkali kwani washindani walikuwa bize kwa mambo yao na wala hawakutaka kutoa japo
singo la wimbo wao wao ni mambo ya kielimu, kutoa maphoto tu ya kila aina ilimradi ni vituko vya kila namna
tulimpata mshindi mmoja tu ambaye atawakilisha TOP 5 naye ni MziziMkavu

5. MKOA WA CHITCHAT: Hapa ndiko ambako shindano lafanyika hapa yaani ni ushindani wa hali ya juu sana kila mmoja anataka hiyo nafasi ya kushinda yaani majaji tulikaa hapa mpaka tukachoka ni vituko, vibweka na majanga hapa kwani watu wamechana kivipoint na inatufanya tushindwe kutangaza mshindi ni nani amaana wamekwenda sawa ila mshindi tumemhifadhi atatangazwa kesho na jaji kiboko Bujibuji Mwaikimba.

JAMANI ENDELEENI KUPIGA KURA KWA WINGI KUMCHAGUA YULE ATAKAYEVAA TAJI HILO
KWANI JMOSI ANATANGAZWA MSANII WA CC MUSIC AWARD 2013

Msikate tamaa jinsi unavyojituma katika mazoezi, ubunifu wa wimbo wako kuuweka hapa kama akina Fixed Point, Mamndenyi, jouneGwalu na wengineo ndivyo kadiri unavyojiongezea maksi nyingi na kura
nyingi na kuwa nakura nyingi, waambie mashabiki, ndugu , marafiki zako wakupigie kura nyingi iwekezekanavyo ili unyakue award hiyo.
Nawatakia kila la kheri na ushindi uliotukuka

wadhamini wetu ni:

View attachment 111564

na fastjet.png
 
Last edited by a moderator:
unajua kuwa mimi na Mamndenyi ni marafiki sana?
hapa walikuwa wanatukwaza tu. maana kwa hakika nisingekuwa kwenye mpambano basi angepata kura yangu.
Asante sana mdogo wangu, yaani kusikia wewe ni kampeni meneja tu watu wananyosha mikono, kweli wewe chiboko
ladyfurahia shindano linafungwa saa ngapi.......na kisha tusherehekeee.........

kumbe una shosti mzuri kaamua kujisacrifse kwasababu yako........
 
Last edited by a moderator:
hiyo kazi jana nilimwachia jaji Paloma atangaze yule
aliyevuka alama 5 hapa cc hivyo ngoja aje amtangaze
yule aliyepata alama za juu kwa jana halafu ijumaa
tutatangaza mshindi aliyeingia TOP5 Kisha jmosi
atakayeingia 3 bora halafu hao ndo watashindanishwa
ana apatikane yule kinara wa CC MUSIC AWARD 2013
WA CC JE MPAKA HAPO UMENIELEWA?

mwenzako niko bedi resti..........mpe teua jaji mwingine anishikie
 
mhm pole jaji basi zamu yako atakushikia Mtambuzi
ila huyu jamaa anapenda kuwapendelea watu sijui itakuwaje l
abda nimteua makamu wake amsaidie naye ni Jiwe Linaloishi
ila naye hapatikani sijui tufanyeje?
JITAHIDI BEST MWAYA UWE WEWE MAANA HAWA NILIOWATEUA NI MAJANGA TUPU
AU MWAMBIE MUMEO sosoliso AKUSHIKIE ZAMU YAKO
mwenzako niko bedi resti..........mpe teua jaji mwingine anishikie
 
Last edited by a moderator:
ina maana uko hivi tena nn.jpgshem sosoliso mambo gani tena haya
mwenzio hapumui juzikati kafyatua matwins leo tena hivi ndo niini upangi uzazi wa mpango jamani
acha kumfanyia mwenzio hivyo bana mpaka anakosa kufanya kazi ya ke kama JAJI. Umenilostisha shem!
mwenzako niko bedi resti..........mpe teua jaji mwingine anishikie
 
Last edited by a moderator:
yanaendelea kesho ndo mwisho wa kumtafuta mshindi kisha tutatangaza washindi walioingia TOP3 kila mkoa na KISHA tutamfyatua mshindi wetu wa cc music award ambaye atakwenda UJERUMANI kuwakilisha nchi yetu
endelea kumpigia kura sista yako
ladyfurahia shindano linafungwa saa ngapi.......na kisha tusherehekeee.........

kumbe una shosti mzuri kaamua kujisacrifse kwasababu yako........
 
yanaendelea kesho ndo mwisho wa kumtafuta mshindi kisha tutatangaza washindi walioingia TOP3 kila mkoa na KISHA tutamfyatua mshindi wetu wa cc music award ambaye atakwenda UJERUMANI kuwakilisha nchi yetu
endelea kumpigia kura sista yako
mmmh! kumbe process bado hivi?
haya sasa mimi mgombea namwachia kazi kampeni meneja wangu Heaven on earth.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom