Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

ha haa, rafiki hii ni kampeni?
mimi nina wadogo zangu humu wakitokea sijui utapita wapi..... KOKUTONA, Chocs, C6 Erickb52, snowhite, cacico, gfsonwin, mwaJ, Kaunga, Asnam, Arabela, Heaven on earth, Young Master, Madame B, amu, Kaizer, Mtambuzi, sister, Ablessed, figganigga, kipipi, Nyamayao, MwanajamiiOne, FirstLady1, Nivea, dada white, shansarie, ladyfurahia, charminglady, Lady doctor, Kongosho, Jiwe Linaloishi. Paloma, Excellent.......yaani nikiendelea hapa ukurasa utajaa

Pamoja sana dada yetu mpenzi.
 
nami ntakuwa sauti ya tatu kwenye hiyo kwaya.....lazima tushinde ....
sawa mdogo wangu...
naona Kaizer kasema atacheza kinanda, sauti ya tatu utaongoza wewe na kama utapata mtu wa kukusaidia itakuwa bomba
 
Last edited by a moderator:
ingekuwa vizuri sana, ila sasa tumeona tuunganishe nguvu, lol!
Basi poa mdogo wangu aah typing error namaanisha twin. Mpambano huu lazima tushinde haiwezekani naona hata BAK ameamua kukuunga mkono . Sasa Heaven on earth changamka mdogo wangu usilale mpaka kieleweke chezea kombe wewe.
 
Last edited by a moderator:
Basi poa mdogo wangu aah typing error namaanisha twin. Mpambano huu lazima tushinde haiwezekani naona hata BAK ameamua kukuunga mkono . Sasa Heaven on earth changamka mdogo wangu usilale mpaka kieleweke chezea kombe wewe.
ha haaaa, unanitania dada mkubwa!
shauriyo......
huyu BAK hata sijamsikia, sasa sijui yupo kambi gani? akuje kutuambia hapa.
Huyo mdogo wangu Heaven on earth namuaminia sana..... ushindi hapa ni lazima
 
Last edited by a moderator:
mbona una haraka hivyo bado hapa tunahessabu kura zenu safari hii sijui nani atakayekuwa top1
maaana mmeshahabiana sana sijui tufanyaje majaji hapa, ngoja nimwachie Bujibuji afanye kitu
Hivi muda wa kufunga bado tu,
Walau niambulie hata hiyo namba mbili.
 
Last edited by a moderator:
Basi poa mdogo wangu aah typing error namaanisha twin. Mpambano huu lazima tushinde haiwezekani naona hata BAK ameamua kukuunga mkono . Sasa Heaven on earth changamka mdogo wangu usilale mpaka kieleweke chezea kombe wewe.

Hahaaaa kwahiyo BAK amekuwa upande wetu.........mwambie atupiamo jisongi basi

ushindi lazima ubaki nyumbani
 
Last edited by a moderator:
ha haaaa, unanitania dada mkubwa!
shauriyo......
huyu BAK hata sijamsikia, sasa sijui yupo kambi gani? akuje kutuambia hapa.
Huyo mdogo wangu Heaven on earth namuaminia sana..... ushindi hapa ni lazima

si umeona hadi Mamndenyi keshanyanyua mikono mapema..........

hii ikimaanisha my dada Fixed Point ni mshindi aliyebakia............
 
Last edited by a moderator:
toa kura kwa mtu mmoja tu hapa umeshapoteza kura yako na wala hatutaihesabu
maana unatupa kazi nzito majaji hapa tumchague yupi tumwache yupi

KURA IMEKUWA DENY
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom