Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Last edited by a moderator:
hivi kaka Mtambuzi nimekupa kazi ya kufanya wewe
unashangaa tu na kukodoa mimacho yako hapa kwaniini
lakini hebu jiangalie hapa unavyotoa macho fanyakazi ya kujaji
hujui kuwa leo tunakesha hapa ili kumpata mshindi wetu ambaye
tutamtangaza kesho acha kutoa macho mazimamazima eye.jpg
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
yanaendelea kesho ndo mwisho wa kumtafuta mshindi kisha tutatangaza washindi walioingia TOP3 kila mkoa na KISHA tutamfyatua mshindi wetu wa cc music award ambaye atakwenda UJERUMANI kuwakilisha nchi yetu
endelea kumpigia kura sista yako

Khe........cant wait for tommorow.......nimetupia na kimombo ujue kwamba namaanisha........

sawa bado naendelea kumpigia kura my dada Fixed Point mwanzo mwisho........
 
Last edited by a moderator:
Mi nitaanza kuangalia shindano siku mchujo ukifikia washiriki wakiwa kwenye House......Kwasasa washiriki wako wengi sana...Inachosha...
 
ha haa, rafiki hii ni kampeni?
mimi nina wadogo zangu humu wakitokea sijui utapita wapi..... KOKUTONA, Chocs, C6 Erickb52, snowhite, cacico, gfsonwin, mwaJ, Kaunga, Asnam, Arabela, Heaven on earth, Young Master, Madame B, amu, Kaizer, Mtambuzi, sister, Ablessed, figganigga, kipipi, Nyamayao, MwanajamiiOne, FirstLady1, Nivea, dada white, shansarie, ladyfurahia, charminglady, Lady doctor, Kongosho, Jiwe Linaloishi. Paloma, Excellent.......yaani nikiendelea hapa ukurasa utajaa

Upo dada yangu mpendwa?
 
mi sina hata hamu na pamoja na kuji brother sugercane kote huko nimetolewa kwenye mashindano
sasa sijui hata nimpigie nani kuta maana Fixed Point ni dada yangu na Mamndenyi ni mama yangu huku kuna shemeji Mr Rocky jasho linanitoka darling kiwatengu embu nipe ushauri nimpendelee nani hapa
ha haaaaaa, Mr Rocky alishatoka mpambanoni.....
kwa kumbukumbu zangu Mamndenyi amesema anakubali nafasi ya pili. kwa hiyo bora unipigie mimi tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom