Shikamoo Pesa Pub-Sinza YAFUNGWA!

Shikamoo Pesa Pub-Sinza YAFUNGWA!

Aaaah suzi weeeeeeee..wapi wali nazi,,,,,mbona ntakufa na kiu ya taska mie mtoto wa kihehe....fred usitufanyiemhivi bana watu tumewekeza hapo....
Mkuu Kigogo,Suzzy alishaondoka yupo mwingine, Chezea Tentemente la MAMA SHUGHULI!Fred usitufanye hivyooo. Chimbo letu.
 
Kiroooba aleee kiroba eeeeh! Acha nkutingishe nipate maweengee!
 
Hayo matukio lukuki yameniacha hoi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Baa maarufu ya aina yake ambayo inazo sifa Lukuki za matukio yanafanywa na wateja wake IMEFUNGWA, matukio hayo kama ya Umalaya,Ushoga na mengine lukuki yakiwemo ya watu kutoa Bastola na kupiga risasi hewani endapo mtu amefurahi ama kukasirishwa na mteja mwenzake,ama amedharauliwa kwa namna yoyote ile.
Baa hiyo ambao hukesha na kufanya majirani ambao wamekuwa wakijaribu kuifunga/kuipiga vita kugonga mwamba kila wakati.
SABABU ZA KUFUNGWA!
siku ya Jumamosi kuamkia Pasaka kijana Rajabu (Chapombe) aishie jirani na hapo PUA NA MDOMO aligombana na kijana mwingine akaae jirani na hapo ugomvi huo ulitokea usiku wa manane ulimsababisha kijana (Rajab) kujeruhiwa vibaya maeneo ya mbavu na kupelekea kupelekwa Hospital ambapo alifariki dunia Jumatatu ya Pasaka,Dada wa Marehemu ambaye ana wadhifa Serikalini (Jina linahifadhiwa) alighadhabishwa sana na tukio hilo na kuamuru Mkurugenzi wake Felix (Fix),Meneja wawekwe Mabatini Kiitonyama Police na kupelekea Baa hiyo kufungwa.
HALI ILIVYO SASA.
Nyumba yenye Msiba imeweka Maturbai mpaka kwenye Baa hiyo na kupelekea hisia yanaweza kuwekwa hivyo wiki mbili ili kuhakikisha kila mteja anaye kwenda hapo KUTAHARUKI.
Pole wafiwa,Pole wamiliki kwani lili
kuwa chimbo la Walevi wengi.

Ipo sehemu gani sinza aisee?
 
Mukuje viwanja vya wastaarabu Mbezi beach, Mikocheni, Msasani & Masaki muone waungwana wanavyopata kiustaarabu.

Ukileta za kuleta kila mtu na yake tena kali kuliko kitoy chako, ukitukana watu unatumiwa nyuki wakufuatilie kimyakimya.
 
Shikamoo pesa na Marahaba zote kwa wasio zifahamu zipo Sinza White Inn opposite na club ya DeFrancee
 
Mukuje viwanja vya wastaarabu Mbezi beach, Mikocheni, Msasani & Masaki muone waungwana wanavyopata kiustaarabu.Ukileta za kuleta kila mtu na yake yena kali kuliko kitoy chako, ukitukana watu unatumiwa nyuki wakufuatilie kimyakimya.
Weka facts Baa ipi? sio una-taja maeneo hata Manzese kuna za ukweli kuliko za ulipopataja CHEDHEA SAVANNAH ya TIP TOP?
 
Tuambie basi kijiwe kingine chenye vituko kama vya Shikamoo Pesa ili tuwe tunajivinjari mkuu
 
Pole marehemu ulafi umekuponza pumnzika kwa amani.
 
Shikamoo pesa na Marahaba zote kwa wasio zifahamu zipo Sinza White Inn opposite na club ya DeFrancee

Kaka shikamoo pub na marahaba pub ziko sinza white inn kweli! Ila zote kwa sasa zimefunikwa na carribian pub kiwanja kipya kwa opposite.

shikamoo pesa pub iko sinza mori!kiwanja cha ukwel kwa smart people..ila hapajafungwa kama mleta uzi anavyosema coz jana nlikuwa hapo na kawaida huwa nakaa kaunta kumuangalia dada wa kaunta pale.

kwa shisha hapako poa kama shisha ya dagaa dagaa pale uwanja wa sanaa sinza legho..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom