Shikamoo Pesa Pub-Sinza YAFUNGWA!

wakuu wanywaji Nini tofauti ya PUB,BAR,NIGHT CLUB na CASINO?maana naona kila mahali pub
 
karibu face pub mkuu......................nyuma ya st marryz pembeni ya georgina bar.

Face pubbbbb! Kila Jumamosi kuna Mapacha Watatu, ukitaka kunywa bia umekalia kochi ni wewe, ukitaka kukaa kwenye mtumbwi ni wewe tu.

Akudo Ijumaa! Sina uhakika kama wanapiga kila Ijumaa, lakini nilishakuwepo Ijumaa fulani jamaa wakawepo pia, Tabata itakuwa kama Kino siku si nyingi.
 
Naomba nikutajie mkuu, ukishuka kwa Remi kutokea Mwenge, ni upande huo huo. Barabara yake kuna machinga wanauza viatu chini, unaenda nayo kama mita 150 utaona uwazi kuna miti miti ya miembe kushoto, Half London ndo iko hapo kushoto na kuna uwazi.

Aaah nimepafahamu..karibu na kwa mzee wangu kocha abdalah kibadeni
 
Tabata bana kuko poa sana dat ni new town....da ukitoka job unapita hai bar kwa wazawa paleee mpaka savoy bar jamani tabata tabata noma si umeshafika dar west inn huyooo mpaka kwa masikio maeneoya tabata shule pale nyumama ya ile hotel...duuu vipi upo wapi bob utasikia tunakungoja walet pub mtambuzi na king'ast wapo paris ok twende zetu italian pub nataka nimbebe papaa msafiri tukamuache hapo texas pub turudi zetu copa cabana na viena usiku tukacheki mpira kwa gerad pale liwiti vp kwa mfojo dar home kwa mamushka kinyerezi napiga horn masai ameshalala hahaha analinda au analala.

ndugu Tabata hakunagaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom