Shikamoo Pesa Pub-Sinza YAFUNGWA!

Weka facts Baa ipi? sio una-taja maeneo hata Manzese kuna za ukweli kuliko za ulipopataja CHEDHEA SAVANNAH ya TIP TOP?
Hata hiyo ya TIP TOP ni nzuri tatizo ustaarabu wa wateja na eneo lenyewe, maanake unakunywa huku unawazia "side mirror" zako kama bado zipo au zimeshafika Gerezani.
 
Hata hiyo ya TIP TOP ni nzuri tatizo ustaarabu wa wateja na eneo ilenyewe, maanake unakunywa huku unawazia "side mirror" zako kama bado zipo au zimeshafika Gerezani.

Hio zamani mkuu ss manzese raha kwenda mbele! Savanna mpk lodge kamili kipupwe cha kufa mtu,security top jaribu utaona mkuu...
 
Hupajui kaa kimya

Umekariri ndg haiko moja km unayoijua ww ya hapo kwa remmy ukishuka km unatokea mwenge upande wako huohuo inakutizama,,njoo na sinza whiteInn utaiona au ndio ww ukiambiwa McDonald unajua ipo UK tu
 
Wataalam wa vyupa naona mnyukano ni mkali sana, nitarudi baadae kwa conclussion!:yo:
 
Umekariri ndg haiko moja km unayoijua ww ya hapo kwa remmy ukishuka km unatokea mwenge upande wako huohuo inakutizama,,njoo na sinza whiteInn utaiona au ndio ww ukiambiwa McDonald unajua ipo UK tu

Hujui kitu.. Ndo maana mnafeli mitihani..shikamoo pesa na shikamoo ni vitu viwili tofauti....
 
Duh! Ndo maana tbl wanaongoza kwa kulipa kodi nchi hii. Sie wala kitimoto kiwanja kipi kizuri?
 
mmesema dagaa dagaa kuna shisha ya ukweli sio?......

basi wale fan wa shisha tukkamatane hapo jioni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom