Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

Rais Magufuli amesema inawexekana Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ina eneo kubwa kuliko Ikulu nyingine yoyote hapa duniani.

Ikulu ya Chamwino ina ukubwa wa zaidi ya hekta 8000

Source ITV

Maendeleo hayana vyama!
Bwashe hii maana yake nini? Kwamba hii itakuwa strong ikulu duniani kuliko hata Whitehouse? Au itakuwa na eneo la kutosha la kufugia tausi na digidigi kuliko ile ya DSM? Ufafanuzi tafadhali.
 
Rais Magufuli amesema inawexekana Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ina eneo kubwa kuliko Ikulu nyingine yoyote hapa duniani.

Ikulu ya Chamwino ina ukubwa wa zaidi ya hekta 8000

Source ITV

Maendeleo hayana vyama!
Tatizo kubwa ni ku-copy na kupaste ile ramani ya ikulu ya Magogoni iliyojengwa na wakoloni mwaka 1890! Nimeshangaa mno kuona hatuna cha kujisifia ila tu pori kubwa linalozunguka ikulu ya Chamwino wakati tukiiga kuta kwa kuta mchoro wa ikulu ya wajerumani ya zamani, jamani!...
 
Pale ni eneo zuri sana la kufugia mijusi mikubwa aina ya kenge na hata mamba.
 
Mkuu alisikika akisema ndugai na wagogo wote wajiandae kuona twiga nadhani kutakua na mbuga ndogo.
 
Mambo poa. Wasiwasi wangu ni wazee ambao tunaendelea kuwaenzi kwa kazi kubwa waliyoifanyia Tanzania kuchanganyikana kwenye umati bila kuvaa barakoa. Jamani Corona haijaisha. Tuwatunze wazee wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakipelekwa mbugani wataliwa wote na simba, acha wazee wajinafasi na ndege kwenye bustani zao wameitumikia nchi
Nadhani Tausi anaweza kuliwa kama ndege wengine ila usem tu Watanzania hatuna umazoea au utamaduni wa kule vitu ambavyo hatukuwahi kuona mababu zetu wakivila
 
Tatizo picha au ramani ya ikulu hatuioni? Hatujui kama ni nzuri au mbaya
 
It will decongest Dar. It will also boost business in most of the regions that surround Dodoma.
Is Dar Es Salaam congested or it is poorly planned? Boosting business in Dodoma and abandon areas around Dar Es Salaam!
Don't you see the closing of some business in Dar Es Salaam because of the shifting of all ministries?

I don't think if the shifting went along with Demography studies and analysis of Tanzania.
 
if it is poorly planned, do yopu want us to live with the problem for the rest of our lives? What is going to make sense...demolishing Dar Es Salaam or establishing a new city, which is properly planned?

By the way, who said the businesses in Tanzania must be located in Dar Es Salaam? Why the rest of the country don't deserve the same opportunities as Dar?

Thinking has always been something hard to do.
 
Back
Top Bottom