Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

Huyo ni mganga wa kienyeji

Unaaminije kuwa ni mganga? Humu JF wala usiamini habar za utabiri mkuu, ni mikakati tu huwa inaletwa hadharani.

Kwa vile wengi huchukulia poa mambo hadi ya tokee ndo unashtuka. Kuna jamaa anayependa slogani ya be the first to know… ndo kama hiyo sasa. .

Hili jukwaa ukiona umetajwa tu kwa jambi fulani wala usichukulie poa, kaa tayari kwa jambo.
 
Back
Top Bottom