Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

Furaha yangu ni speech ya kikwete, mheshimiwa alikuwa mwanasiasa kweli anavyoongea tu inaonesha kwanini kipindi chake Tanzania tulikuwa wasimamizi wa migogoro mingi ya Africa.

Amekaribishwa tu jkt wanashangilia kweli kweli, halafu anaanza na salamu ya mambo 😂😂😂😂 hata kama umekunja sura lazima utabasamu.
 
Furaha yangu ni speech ya kikwete, mheshimiwa alikuwa mwanasiasa kweli anavyoongea tu inaonesha kwanini kipindi chake Tanzania tulikuwa wasimamizi wa migogoro mingi ya Africa. Amekaribishwa tu jkt wanashangilia kweli kweli, halafu anaanza na salamu ya mambo hata kama umekunja sura lazima utabasamu.
Kikwete huyuhuyu ulioimba kumpeleka the Hague kwamba anabana katiba
 
Kikwete huyuhuyu ulioimba kumpeleka the Hague kwamba anabana katiba
Nani aliimba Mkuu? Kikwete ni humble sana nakumbuka 2010 niliwahi sikia ndugu Heche kwenye kampeni zake anasema " kikwete kama hajafunzwa na mamaye basi sisi tutamfunza "

Lakini mkubwa hajawahi kuzuia mikutano ya siasa wala hakuwahi kuwa na kinyongo na mtu, embu fikiria John Heche angesema kauli hii kipindi hiki cha mkuu.
 
This is a critical step for the new Tanzania we all envision. Moving to Dodoma should be by actions. The words have been spoken long enough. Hongereni wote waliofanikisha, kuanzia awamu ya kwanza mpaka awamu ya tano
 
This is a critical step for the new Tanzania we all envision. Moving to Dodoma should be by actions. The words have been spoken long enough. Hongereni wote waliofanikisha, kuanzia awamu ya kwanza mpaka awamu ya tano
Give us its benefits to the wananchi.
 
1590932677194.png
 
Rais Magufuli amesema inawexekana Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ina eneo kubwa kuliko Ikulu nyingine yoyote hapa duniani.

Ikulu ya Chamwino ina ukubwa wa zaidi ya hekta 8000

Source ITV

Maendeleo hayana vyama!
 

Similar Discussions

23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom