Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

comments za hili bandiko hazifiki hata 200 licha ya muhusika kuongea muda wote huu mpaka sasa amemaliza hizi ni dalili kuwa magufuli amechuja sana aachane na mpango wa kugombea urais tena.
Vipi unaishiwa nguvu tukuletee ambulance
 
Ni jambo jema. Lakini sioni Barakoa? Hao wazee wakipata hayo mafua kwa mpigo si itakuwa kazi?
Tukio jema linazaa sekeseke nyingine.

Wasalam.
 
Kwahiyo eneo la ikulu kuwa kubwa nayo siku hizi ni dili la kujitangaza? Madikteta bwana. Si mtu anaweza kutumia uwendawazimu akazungushia mkoa mzima wa Arusha ukuta akaugeuza kuwa eneo la ikulu? Ni jambo tu la kuwa mwendawazimu kisha unaamua. Hizo tunaita simple logic!

Yani unahodhi eneo kubwa liwe ikulu ili ujitangaze kuwa una eneo kubwa la ikulu? Anajua madhara yake huyo? Siku atakuja kurudi Dar na alivyo muoga hata wa mjusi ngoja tuone.
Ndg Hayo ni maoni yko tu nadhan hayata
badili uhalisia.
Binafsi maoni yangu ni Vema hyu rais wetu JPM akae kwenye Kiti hcho mpaka miaka ishirini ipitee au apewe hata ukiranja kwa marais wote wa Africa ,
JPM KIONGOZ WA KUIGWA, ANAMTEGEMEA MUNGU HANA CHA PAPALA ,
ANASIMAMIA MASLAHI YA NCHI KWA WELEDI.
yaani mpaka nahic nchi nyingi duniani zinatamani awe rais wao
Daah, nahc nkimponda ntakuwa
Mnafiki
 
Nimesoma ulichoandika nikasinzia.
 
Hivi ikulu, kwa lugha ya kibiashara, ni asset au liability? Kwa nchi yetu ilivyomaskini, juzi tu tumeomba mkopo kutoka ufaransa kwa ajili ya miradi ya maji harafu leo, tunatenga pesa kujenga ikulu, nyingine, Dodoma ipo ikulu ndogo Eneo la uzunguni, akili za mtu mweusi.

Ingekuwa Raisi yupo akiwapokea wataaalamu wetu waliorudi kutoka masomoni Karl nyanja za kilimo, sayansi, au angekuwa amefungua kiwanda cha kwanza cha vitu vya IT, ingekuwa poa sana, sasa hilo li ikulu, linaongeza gharama tu, umeme, maji, matunzo, fucking Black Africans brain!

Anajiwekea mazingira ya kukaa madarakani Zaidi ya miaka 10.
 
Si tija kiuchumi,labda kwenye sifa anataka akumbukwe kupitia majengo thus anajenga uwanja wa mpira Chato usio na tija kiuchumi

Huo uwanja wa Chato utakuwa kama ule wa Ally Hassan Mwinyi wa Tabora. Siku akitoka madarakani utageuka pagara.
 
Hivi hao ndege wana nini unique?

Na kweli hata mimi nashangaa. Kwangu mimi hata angemgaia kila mtu anayekutana naye sioni tabu. Ila ninachojiuliza, hao aliowapa ni kwamba walikuwa wanawataka sana hao ndege.

Ila walishindwa kuwachukua maana sheria hazikuwaruhusu wao walipokuwa marais, ila sheria za sasa zimemruhusu yeye kuwagai marais wastaafu?

Au enzi za hao wengine walikuwa wachache sana kiasi kwamba haikuwezekana kuwachukua? Ila kwa sasa wamekuwa wengi hivyo hao marais wastaafu wanawatamani?

Cc: Bia yetu
 
Kwahiyo eneo la ikulu kuwa kubwa nayo siku hizi ni dili la kujitangaza? Madikteta bwana. Si mtu anaweza kutumia uwendawazimu akazungushia mkoa mzima wa Arusha ukuta akaugeuza kuwa eneo la ikulu? Ni jambo tu la kuwa mwendawazimu kisha unaamua. Hizo tunaita simple logic!

Yani unahodhi eneo kubwa liwe ikulu ili ujitangaze kuwa una eneo kubwa la ikulu? Anajua madhara yake huyo? Siku atakuja kurudi Dar na alivyo muoga hata wa mjusi ngoja tuone.
Mbona unabwabwaja kama umekalia kitu chenye ncha Kali, ?? Mara Arusha yote ,mara dicteta, mara eneo kubwa lina madhara, sasa nini msimamo wako ? Na zaidi ya hapo je ndio madaraka uliopewa wewe au ni maoni yako ambayo yapo yapo yanaeleaelea?

Maana kama una valid point ieleze vs ubaya wa eneo kubwa n.k. Moreover aliyeamua kuwa na eneo kubwa unawajua au unamjua au ndio ndoto za wana saccos kisiasa, wakati saccos dhumuni lake sio siasa
 
Kwahiyo eneo la ikulu kuwa kubwa nayo siku hizi ni dili la kujitangaza? Madikteta bwana. Si mtu anaweza kutumia uwendawazimu akazungushia mkoa mzima wa Arusha ukuta akaugeuza kuwa eneo la ikulu? Ni jambo tu la kuwa mwendawazimu kisha unaamua. Hizo tunaita simple logic!

Yani unahodhi eneo kubwa liwe ikulu ili ujitangaze kuwa una eneo kubwa la ikulu? Anajua madhara yake huyo? Siku atakuja kurudi Dar na alivyo muoga hata wa mjusi ngoja tuone.
Basi unaona umetoa hoja ya maana kweli!

Kweli bavicha ni mzigo
 
Kwahiyo eneo la ikulu kuwa kubwa nayo siku hizi ni dili la kujitangaza? Madikteta bwana. Si mtu anaweza kutumia uwendawazimu akazungushia mkoa mzima wa Arusha ukuta akaugeuza kuwa eneo la ikulu? Ni jambo tu la kuwa mwendawazimu kisha unaamua. Hizo tunaita simple logic!

Yani unahodhi eneo kubwa liwe ikulu ili ujitangaze kuwa una eneo kubwa la ikulu? Anajua madhara yake huyo? Siku atakuja kurudi Dar na alivyo muoga hata wa mjusi ngoja tuone.
Yani wewe bila shaka ndio utakuwa kicheche wa Msoga
 
Back
Top Bottom