Thread yako inapotosha mkuu......Mtu akisoma anaweza akafikiri TBC tayari wanaonesha live kitu ambacho sicho,ni vema hata ungeandika: Mazishi ya Sheikh Yahya; TBC kuonesha live?....
Kama hutojali badilisha heading ama omba mods waiondoe kabisa thread,maana haina MASHIKO mkuu
Haswa ulijuwaje wewe? Ni hodari kwelikweli! Ulitaka akazikwe na m.a.v.i tumboni kama nyinyi (suti kubwa kwa maiti huku mavi yanachafuwa mazingira)! Si uliona nanihii pale uwanja wa taifa man nzi yalivyo mzunguka? Au umesahau? Maiti ya kiislaam hupelekwa kuzikwa sharti inanukia ma-al'udi na manukato ya misk na ambar. Huko aendako atajuana yeye na muumba wake, sisi twampeleka msaaafi, ananukia.
hivi kumbe ni kweli huwa wanakamua mavi?
Sitashangaa wakionesha kwani alikuwa Mchawi maarufu sana nchini na natumai maamuzi mengi ya kitaifa yakiwemo ya Dokta Dokta Dokta JK alikuwa anayachangia sana... namshangaa Dr Dr Dr JK ajatangaza Jumatatu iwe siku ya maombolezo... please tangaza please...
je tbc itaonyesha mazishi ya sheikh haya?
Faiza tunaomba Formula ya Kukamua M@#i...
Haswa ulijuwaje wewe? Ni hodari kwelikweli! Ulitaka akazikwe na m.a.v.i tumboni kama nyinyi (suti kubwa kwa maiti huku mavi yanachafuwa mazingira)! Si uliona nanihii pale uwanja wa taifa man nzi yalivyo mzunguka? Au umesahau? Maiti ya kiislaam hupelekwa kuzikwa sharti inanukia ma-al'udi na manukato ya misk na ambar. Huko aendako atajuana yeye na muumba wake, sisi twampeleka msaaafi, ananukia.
Nenda ukafanye majaribio halafu utakuja kueleza methodology hapa kwenye forum.
Hamushangai mukisoma kwamba Egyptian mummies walikuwa wanasafishwa utumbo na kuwekewa dawa kufanyiwa mummification, munakuja kushangaa leo waislamu wanafanya hivyo?
Kila mtu ana dini yake na imani yake anayoyafanya hayamuhusu asiyehusika. Hebu tuheshimiane jamani.