Huyu si mungu wa waislamu?...amekufaje sasa.....mbona hakujitabiria kifo chake isipokuwa akaendelea kutishia vifo watz wasio na makosa?......mwache atangulie mbele ya haki
Wajameni niko maeneo ya kinondoni, karibu na msikiti wa mtabani ambapo mwili wa yule aliyekuwa mnajimu maarufu unatarajiwa kuoshwa ikiwa ni maandalizi ya maziko hapo baadae mchana ktk makaburi ya tambaza. Fununu nilizozipata ni kuwa kuna idadi kubwa ya waosha imejitokeza kuuosha mwili huo. Nje ya msikiti watu wanadhani kuwa kujitokeza kwa idadi hii ni kutaka kuondoka japo napete moja kati ya yale mapete yavaliwayo ns sheikh. Wana jf, hizi fununu zaweza kuwa na ukweli?.
Sidhani kama bado maiti yake imevaa hayo mapete.Yale mapete yalikuwa walinzi, mpaka sasa yanalinda nini wakati Maulana ameishayazidi nguvu na kuchukua roho aliyokuwa amemwazima Sheikh?
Acha kudanganya watu habari za kumuosha ni uchimvi mtupu.Semeni wazi Sheikh Yahaya anakamuliwa kinyesi kwamujibu wa taratibu za ~~~**&&&& ili mabikira 80 wampokee vyema.
Hao wanga si wako wengi Tz, kwanini huyu hata Rais wa nchi amtolee rambi rambi? Inaudhi sana.
Je naye alikuwa mtumishi wa Ikulu au Serikali? Naululiza kwa ujinga tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.