Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,884
- 952
inna lillahi wainna ilaihi rajiun!
Rest in peace sheikh.
Rest in peace sheikh.
Utaratibu ni kuwa Prof. Majimarefu atashikilia kwa muda hadi kamati ya ufundi na kamati kuu za chama zitakapokaa hatutaki kuvunja katiba wapinzani wetu hasa Chadema wakatumia kwa propaganda.sasa ivi Chama kitakua kinamtumia Mh. Prof Majimarefu kucover gap la marehemu
alikuwa anaweka usiku sana kwenye maendeleo ya nchi.....akavune alichokipanda kudadadeki....
RIP yahahya.
Kusema kweli nilikua sikupendi, hasa katika kile kipindi chako cha chanel ten cha uchawi na majini.
Hakika sote tu safarini.....hatujui siku wala saa! ama kweli MUNGU mkubwa.
R I P......Sheikh msalimie Osama na mwambie wamarekani wanashangilia sana kifo chake! Kama anaweza afufukie PENTAGON!!!
Wanaachina urithi hawa watu wa jinsi hii, huyo aliye achwa anaweza kuwa baraa zaidi ya huyu aliye ondoka. Yanatakiwa maombi ya nguvu kusambaratisha nguvu hizi za giza na majini!!!!!!!!!Amen! Leo Nchi ya Tanzania imepata uhuru toka Nguvu za giza! Poleni wafiwa.
Kila lenye mwanzo lina mwisho tunawatakia familia utulivu wakati huu wa kuondokewa na mpendwa wao.
Mungu ailza roho ya marehemu pepa peponi na kuwapa faraja familia wakati huu wa majonzi. Amin.