Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 256
Bora kafa yeye, maana amekuwa anawachulia watu wengi. Ata wale wanaoamini ni wezi wa nchi hii nao wajue sote tutakufa na kwenda mbele ya haki.
Jamani kesho mwisho wa dunia...au mmesahau?
Sio rahisi usikie maana alikuwa mlinzi wa siri wa JKDu!..hata sikusikia kama kaumwa karibuni..!Kama kweli apumzike anapostahili..Mganga hajigangi,lol!!
Mkuu, check kwenye red, next time uwe una-edit before you post.He died this morning at his magomeni home, acording to one of his sons. More to come
majini wake wameanza kuzagaa barabarani na njia panda...jamani kuweni macho hasa mnaopenda kutembelea maeneo ya fukwe.
Ulinzi wa majini vipi???????? Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya mungu wake. Mwanadamu anakufa eti!!!!!!He died this morning at his magomeni home, acording to one of his sons. More to come
Sio rahisi usikie maana alikuwa mlinzi wa siri wa JK
Senior Member
Senior Member
majini hawapo 2 ufukweni2 ata nchi kavu wapo.majini wake wameanza kuzagaa barabarani na njia panda...jamani kuweni macho hasa mnaopenda kutembelea maeneo ya fukwe.
yeye sio maajini ni binadamu aliyekuwa mtabili.ajifie zake majini matupu
Hii inaashiria nini kuhusu 21/05/2011?Mwenyekiti wa wazee mkoa wa Dar es salaam mzee mwinyimvua amefariki dunia.
Itakumbukwa wazee wa Dar es Salaam wamekuwa wakitumiwa kama daraja la propaganda la CCM muda mrefu tangu enzi za Mwl Nyerere.
Wazee wa Dar chini ya uongozi wa Mzee Mwinyimvua walitumiwa na ****** kuwashambulia na kuwazodoa wafanyakazi waliokuwa wakitaka nyongeza za mishahara.
Pole sana kikwete kwa kuondokewa na Mzee mwinyimvua na Sheikh Yahaya Hussein mlinzi wako wa uhakika,
RIP Mwinyimvua.
Ni Kweli Shehe Yahya amaefariki dunia angalia TBC 1 taarifa ya habari saa 7 mchana leo tarehe 20/05/2011!
R.I.P
Kama ni kweli itabidi JK akatishe kikao cha SADC NAMIBIA aje kumzika uyu mnajimu wake.