Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

M
hivi wale walinzi alimpa JK alishawachukua ama la...wasije mzuru jamaa au anayajua mahitaji yao?

Mkuu we uko nchi gani kwani husikii ajali za kila siku na damu nyingi kumwagika? Msosi wa walizi wa mkulu.
 
:mod:Mh... ivi wanaJF mnahabari kama kesho ni mwisho wa dunia kwa mujibu wa watabiri (21/05/2011) ndo mwisho wa dunia, kama ni kweli mzee mwinyimvua na mtabiri mkuua.mashariki na kati nashauri tukumbushane kutubu kabisa leo leo you never know.:biggrin1:
 
Watu bwana, JF people have no honour. Respect the dead jamani. As for Yahya, inna lillahi wa inna ilaihi rajioon! Watu mnaleta siasa kwenye kifo cha mtu. Huo ni unyama kabisa, wakati wote hapa, pamoja na mama zenu, baba zenu, dada zenu, watoto wenu na hata wajukuu wote tuu lazima tuoze na harufu tutoe na kuliwa na wadudu ndio mtindo mmoja. Inasikitisha sana kuona ushabiki pale ambapo roho ya mtu inamtoka. Acheni siasa za jalalani kwani Slaa ana umri gani? hehehe.. Anyway my point is, let us respect the dead. Peace
 
It's real a sad news, RIP Sheikh Yahya, oooh! how i wish you could have been alive to witness for yourself the downfall of CCM and the leaders whom you dearly provided them with your "unseen" protection. RIP CCM, coz your protector is no more! my condolences to the head of state and his crew members whom were served with "unseen" protection.
 
Watu bwana, JF people have no honour. Respect the dead jamani. As for Yahya, inna lillahi wa inna ilaihi rajioon! Watu mnaleta siasa kwenye kifo cha mtu. Huo ni unyama kabisa, wakati wote hapa, pamoja na mama zenu, baba zenu, dada zenu, watoto wenu na hata wajukuu wote tuu lazima tuoze na harufu tutoe na kuliwa na wadudu ndio mtindo mmoja. Inasikitisha sana kuona ushabiki pale ambapo roho ya mtu inamtoka. Acheni siasa za jalalani kwani Slaa ana umri gani? hehehe.. Anyway my point is, let us respect the dead. Peace

haujasoma ilivyoandikwa...husimuache mchawi aishi!! eeh ama wewe unahuruma sana?
 
Kwa kifupi yeye alikuwa middleman kati ya hao walinzi na watu wengine. Kufa kwake hakuondoi ulinzi. Yupo aliyeachiwa ambaye wakati yeye yupo ndiye alikuwa anamsaidia. Uganga huwa haufi rafiki zangu lazima mjue hilo. Hii ni ishu ya kurithishwa na mara nyingine kama hakumuachia mtu (amefariki ghafla) majini yenyewe humutafuta mmoja wa wanafamilia ambaye yanaona wanaendana kinyota basi yanamwingia na jamaa anaanza kupiga kazi kama kawa.
 
Huyu alikuwa mpiga ramli jambo dini yake ya kiislamu inakataza hamna cha rest in peace hapa aende zake.Tuache unafiki wapiga ramli na wachawi ni maadui wa Mungu na wanadamu.
 
... sheih yahya kamusalimu sheih osama bin laden huko!
 
Kipindi cha uchaguzi aliwahi kusema atampelekea JK ulinzi zaidi, Sasa JK atafute mlinzi mwingine
 
Huyo ni mkewe, mwanawe au mjukuu????

Sheikh-Yahya.JPG

Jini!!!!!
 
Afathali zile nafasi za magazeti zilizokua zinaandika habari zake zitabaki tupu na kuandika maswala mengine ya maendeleo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom